Naomba ushauri wa fursa za biashara zinazopatikana Kahama

Naomba ushauri wa fursa za biashara zinazopatikana Kahama

Hivi huko Kahama nikija na hii biashara yangu ya majeneza na vumbi la Congo naweza kupata site nzuri na wateja wa uhakika?
Maana huku Dom hali sio nzuri kabisa.!


Huku sidhan km kuna hao wTejA...!ahaha sijajua
 
Sina idea sana za nguo mkuu..as naonaga nguo za kiume ni tamu..ila za kike sijawah ona!..na kuna machimbo na vibandari bubu ndo wanachukulia mizigo...!
Ndo la muhimu zaidi!
Sijaona mkuu..!uzi huu?
Bas sikuona
Biashara kichaa viatu mtumba? Mie nilikua nafata/natumiwa karume 2014 vya watoto @6000 nakuja uza kwa15000!... Na havichukui hta week 2!?
WAPE MWONGOZO MKUU.
 
Habari ya muda huu ndugu zangu,samahani napenda kuuliza kwa wakazi wa kigoma au mtu yeyote anayeifahamu kigoma hasa maeneo ya wilaya ya kibondo ni fursa gani inapatikana kule,? Asanteni sana
 
Back
Top Bottom