Naomba ushauri wa fursa za biashara zinazopatikana Kahama

Naomba ushauri wa fursa za biashara zinazopatikana Kahama

Kahama wazawa wanafanya biashara kwa mazoea sana wamelewa hela...!yaan mtu anabiashara nzuri sana lakini customer care hakuna...!ukiweza kumanage hizo ishu hela itakuja km ilipotea imerudi nyumbani!
habari,
nlikuomba namba pm pls, naona kmya
 
Kahama watu wa kununua kiatu cha mtoto kwa elf15 ni wachache sana pair ngapi ulikuwa unamaliza kwa wiki au robota ngapi ulikuwa unamaliza kwa wiki? Kumbuka Khm ni mji wa wasukuma wanapenda vitu vya kung'aa alete viatu vya special akajibane mle jinja/kariakoo ndo atapata faida.
Biashara kichaa viatu mtumba? Mie nilikua nafata/natumiwa karume 2014 vya watoto @6000 nakuja uza kwa15000!... Na havichukui hta week 2!?
 
Kahama watu wa kununua kiatu cha mtoto kwa elf15 ni wachache sana pair ngapi ulikuwa unamaliza kwa wiki au robota ngapi ulikuwa unamaliza kwa wiki? Kumbuka Khm ni mji wa wasukuma wanapenda vitu vya kung'aa alete viatu vya special akajibane mle jinja/kariakoo ndo atapata faida.

Mie nadhan huyu anauliza kutoa kahama...! Mm nimegudua chimbo zuri sana la viatu vya watoto..ajabu wananiuzia 7000 raba kali mno ys watoto dukan inasimama kwa 30!bas nayakusanya balaa..!its true wajomba zangi wanapenda za dukani...bt akipeleka kwinginr atapiga pesa..!mie nilikua nachukua vya kusort pea mia havikai...! Mashati ya kiume grade 1kahama yanauzwa 15...lakini ukichukua belo utaweza kuta shat linasimamia kwa 7000@!bas tu biashara ya uchuuzi inachosha!lakini kama una convincing power..doh!utauza
 
Wasalimie wakulima wa mpunga.
 
Kahama wazawa wanafanya biashara kwa mazoea sana wamelewa hela...!yaan mtu anabiashara nzuri sana lakini customer care hakuna...!ukiweza kumanage hizo ishu hela itakuja km ilipotea imerudi nyumbani!

Dada manengelo , salaamu. Nipo Katoro. Naplan kuja Kahama kuexplore fursa za kibiashara. Biashara ndogo ndogo. Mtaji maximum 1 Million.

Nipe ABCs mkuu.
 
Dada manengelo , salaamu. Nipo Katoro. Naplan kuja Kahama kuexplore fursa za kibiashara. Biashara ndogo ndogo. Mtaji maximum 1 Million.

Nipe ABCs mkuu.

Hongera sana mkuu..mie fursa nilizoona jamani kwenye chakula_kuuza nafaka;vurugu vurugu nyingi ambazo ukitega pazuri unapata hela!sema inabid ww ujione akilini mwako unataka nn!bt dar na kahama mm nachagua kahama
 
manengelo,

Hongera sister kwa kuwa na moyo wa sharing.

End of this week nitakuja Kahama for such purpose. Nitakuja kuresearch hiyo idea ya nafaka. Thanks
 
Back
Top Bottom