Naomba ushauri wa fursa za biashara zinazopatikana Kahama

Wakuu mimi nimekuwa nahamu kubwa ya kufanya maisha nje ya dar.biashara yangu nifast food..je kahama fast food zikoje
 
Kule wamezoea kula vyakula vya kawaida,wali nyama,maharage,samaki,halafu uwapelekee burger,sausage, sandwich,fillet sijui yaani utafunga ndani ya miezi miwili tu
 
Kahama kuna fast food ya kisasa kabisa inaitwa Royal Court food. Ni fast food kubwa ambayo kwa Tanzania hii ni mikoa mitatu tu unaweza kuta fast food ya aina hiyo. Kwa hiyo kama unawekeza usije kisela bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Royal food sawa iko standard alichukua dizaini ya mijengo ya macDonald ama Subway,..lakini mle hawapiki wali kweli mle?..
Nani kahama anakula burger?
 
Back
Top Bottom