Nipo kiti cha mbele kusubiri wana Kahama na watu wengine watupe fursa
Hivi huko Kahama nikija na hii biashara yangu ya majeneza na vumbi la Congo naweza kupata site nzuri na wateja wa uhakika?
Maana huku Dom hali sio nzuri kabisa.!
Kila la heri...!Hongera sister kwa kuwa na moyo wa sharing.
End of this week nitakuja Kahama for such purpose. Nitakuja kuresearch hiyo idea ya nafaka. Thanks
DtbNisaidiwe aina za mabenk yaliyopo kahama wakuu.
Ukiachana na hizi crdb,nmb,Azania, access na Postal bank.
Natanguliza shukrani
MPE MWONGOZO MKUU.
Sina idea sana za nguo mkuu..as naonaga nguo za kiume ni tamu..ila za kike sijawah ona!..na kuna machimbo na vibandari bubu ndo wanachukulia mizigo...!
Ndo la muhimu zaidi!
Sijaona mkuu..!uzi huu?
Bas sikuona
WAPE MWONGOZO MKUU.Biashara kichaa viatu mtumba? Mie nilikua nafata/natumiwa karume 2014 vya watoto @6000 nakuja uza kwa15000!... Na havichukui hta week 2!?
WAPE MWONGOZO MKUU.
ANAKUJA KUKUPA MWONGOZO MKUU.Dada manengelo , salaamu. Nipo Katoro. Naplan kuja Kahama kuexplore fursa za kibiashara. Biashara ndogo ndogo. Mtaji maximum 1 Million.
Nipe ABCs mkuu.
MKUU,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Nafaka fresh hasa msimu wa mavuno, mchele unashuka kama bei ya kutupwavipi kwa mzunguko wa biashara nyingine kama nafaka na kadhalika?
Kila la heri...!
Dada manengelo , salaamu. Nipo Katoro. Naplan kuja Kahama kuexplore fursa za kibiashara. Biashara ndogo ndogo. Mtaji maximum 1 Million.
Nipe ABCs mkuu.
One dei ntahamia kahama, ni dream yangu kuishi huko
Vizur nimepata pacha WanguWw una dream km mimi aisee!