Naomba ushauri wa fursa za biashara zinazopatikana Kahama

Royal food sawa iko standard alichukua dizaini ya mijengo ya macDonald ama Subway,..lakini mle hawapiki wali kweli mle?..
Nani kahama anakula burger?
Pale vyakula mchanganyiko.. hata Wali Tunachapa tu.[emoji16][emoji3581]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pale vyakula mchanganyiko.. hata Wali Tunachapa tu.[emoji16][emoji3581]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndo ujue,mwanzo ilikua dizaini ya fast food kweli,ila wakaona biashsra haiendi wakarudi kufanya mixer,ubwabwa,nyama,kuku etc,,yaani ikawa restaurant badala ya fastfood.
 
Ndo ujue,mwanzo ilikua dizaini ya fast food kweli,ila wakaona biashsra haiendi wakarudi kufanya mixer,ubwabwa,nyama,kuku etc,,yaani ikawa restaurant badala ya fastfood.
Nchini ukitoa Migahawa ya kigeni kuwa na fast food chain it's impossible.. hilo eneo haliko regulated.. nikiamka na laki yangu nanunua karai viazi debe, Mafuta upawa na sahani za plastic,... Toothpick, jiko mapumba, tomato, chimvi na pilipili.. am set.. a MacDonald near you tayari..

Kwa mtindo huo hakuna kitakochokuwa nchini.. ni mpaka kuwe na utaratibu mzuri. Na hiyo Ni eneo ambali lingetoa ajira nyingi formally..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
wadau mlisema mnaamia kahama kutafuta maisha tupeni updates tujifunze mlipo fanikiwa na zaidi mlipofeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…