Naomba ushauri wa gari gani zuri la kutembelea lisilozidi Sh. milioni 10

mzee ukiambiwa gar inauzwa japan mil.10 hakikisha una milion 4+ pemben kwa ajili ya usafiri wa meli,Gharama za kuitoa bandarini,TRA,Bima and others. be care sana yaan kibongo bongo waweza kuagiza gari la milion 10 japan afu unakuta wale wazee wanakwambia ushuru wa hyo gar ni milion 7.....nenda taratbu usje telekeza gar yako bandarin

pia ukiamua kununua kwa mtu nakushauri nunua gar kwa mhusika na sio kwa madalali.

mali zq kununua mkononi zna mambo meng sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…