Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kiukweli kabisa mleta mada huwezi kupata gari nzuri yenye kukidhi vigezo vyako vyote vitatu (Economic, Family na Safari).
Jikite zaidi kwenye suala la kiuchumi (uwezo wa kuinunua gari na gharama za kila siku za kuliendesha) kulingana na ukubwa wa familia yako. Suala la kuitumia kusafiri nalo safari za mbali kwa sasa achana nalo kabisa, maana gharama yake ni kubwa sana na hatari kiasi fulani kama hujajipanga vizuri.
Kwa budget ya shilingi milioni 10-12, kipato cha maisha ya kawaida, mizunguko ya mjini, basi fikiri kumiliki gari ya Toyota IST. Ni gari imara, imetulia, inatumia mafuta kidogo na inadumu fresh. Hiyo ndio kama simu ya Nokia ya tochi kabla ya kipindi cha zama za smart phones kuingia. Hapo hutajuta na utafurahia maisha na familia yako. Chaguo la pili ni Raum.
Kwa leo niishie hapo.