bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
- Thread starter
-
- #21
Khasante kwa ushahuri,ila sijajua muhemko wangu ni kipiulichogundua Nina muhemko ili nijirekebishe maana akuna mkamilifu nieleweshwe mkuuBasi mkuu, ktk safar yako hiyo ya kukopeshwa hela ni ngekushuri huende benk Plc Kabisa maana wengine wakikopesha hela hutoweza kurudisha kamwe pesa zao ni za mazingara!
Kuwa makini. Hito hela isije ikawa Adhabu kwako.
Kitu kingine punguza Mhemko!!!
Mhemko nao uona hapo uko speed sana kumtafuta mtu wa kuku Push. Embu pia mwombe Mungu umshirikishe akupe mfadhili mwema.Khasante kwa ushahuri,ila sijajua muhemko wangu ni kipiulichogundua Nina muhemko ili nijirekebishe maana akuna mkamilifu nieleweshwe mkuu
Khasante nitapunguza muhemukoMhemko nao uona hapo uko speed sana kumtafuta mtu wa kuku Push. Embu pia mwombe Mungu umshirikishe akupe mfadhili mwema.
pole , fanyia kazi mawazo muhimu usikimbilie kukopaNashukuru kwa ushauri wako .kunachangamoto ilinikuta ndani ya biashara na nje ya biashara , lakini niliitatua ndiomaana niliyumba kiuchumi na kibiashara .
huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.Kama unaifahamu hiyo biashara na umeshaifanya zaidi ya mwaka mmoja nakushauri uza nyumba halafu upate mtaji. Nasema uwe umeifanya zaidi ya mwaka mmoja hii itakusaidia kwamba umeshajua misimu yote ya biashara yako.
Pia ni kosa sana vijana wengi wanafanya umefanya biashara kidogo umepata ten millions unakimbilia kununua kiwanja kwanini hiyo hela isiongeze mtaji upanue masoko? This is very technical error. Mjasiriamali usishindane na mfanyakazi anaelipwa mshahara kujenga. Unatakiwa upambane kwanza mtaji ukishakuwa vya kutosha uwe na uhakika hauwezi kupata liquidity problems ndo unaanza mambo hayo.
Kwa mfano mimi nimepanga after three years ndo nitafikiria kununua kiwanja baada ya kuona mambo yamekaa sawa
huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.
huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.
kwanza hakuna aliyesema kwamba aende kukopa fedha ,ushuri upo mwingi kwenye kuongeza mtaji kwa mtu aliyekwama, Mimi nilichosema ni kuwa anachopaswa kufanya ni kuanza kidogo kidogo tena kwakua biashara hii ameifanya kwa muda mrefu na anasema kuna jambo liliingilia likamtatiza kwenye biashara yake, pili nikamshauri aanze tabia ya kuweka akiba ya kile kidogo anachopata kwakua kanuni ya mikopo siku zote ni kuwa unakopa ili kuongezea kwenye mtaji wako yaani 75% ni fedha zako na 25% ni fedha za mikopo. Sasa unapokuja ushauri wa kuuza makazi yake aongeze kwenye mtaji hili nasema si wazo jema kwakua linamuweka mhusika kwenye risk kubwa kwakua hakuna anayefahamu nini kilicho mkwamisha kwenye biashara yake awali , halafu kingine ni kuwa hakutakuwa na nidhamu kubwa kwenye fedha ya kuuza mali yako na ile ya kukopa. Kaka nikuombe ufikiri tu maana kanuni yangu ni "kuwa usipo fikiri utanuka"Basi ww ndio hujui na huna elimu ya fedha. Istoshe jamaa kamwambia afanye hvyo only if ana ufaham wa hyo biashara for more than a year.
Sasa niambie ipi bora....uuze nyumba at the current market price ui inject capital kwenye business unayo ijua with high levels of integrity and discipline au uweke rehani hyo asset ukakope fedha (God knows kama ni kwa watu binafsi au bank) then uje ulipe riba na u cover gharama za huo mkopo.
Its better uuze, upate capital ya kununua assets zingine za biashara zitakazo zalisha na u wont incur any expenses i.e. interest. Kwanza akakope ana biashara gan nyingine yenye turnover ya kulipo huo mkopo....huwez count 100/100 ya hyo venture yake from the start. Istoshe mikopo binafsi ni janga ndugu tembea uone.
Ushauri:
Auze hyo nyumba if he knows what he z doing. Plus awe makini katika ku minimize risks.
kwanza hakuna aliyesema kwamba aende kukopa fedha ,ushuri upo mwingi kwenye kuongeza mtaji kwa mtu aliyekwama, Mimi nilichosema ni kuwa anachopaswa kufanya ni kuanza kidogo kidogo tena kwakua biashara hii ameifanya kwa muda mrefu na anasema kuna jambo liliingilia likamtatiza kwenye biashara yake, pili nikamshauri aanze tabia ya kuweka akiba ya kile kidogo anachopata kwakua kanuni ya mikopo siku zote ni kuwa unakopa ili kuongezea kwenye mtaji wako yaani 75% ni fedha zako na 25% ni fedha za mikopo. Sasa unapokuja ushauri wa kuuza makazi yake aongeze kwenye mtaji hili nasema si wazo jema kwakua linamuweka mhusika kwenye risk kubwa kwakua hakuna anayefahamu nini kilicho mkwamisha kwenye biashara yake awali , halafu kingine ni kuwa hakutakuwa na nidhamu kubwa kwenye fedha ya kuuza mali yako na ile ya kukopa. Kaka nikuombe ufikiri tu maana kanuni yangu ni "kuwa usipo fikiri utanuka"
Umesema matajiri mkuu hapa hatumshauri tajiri tunamshauri mjasiriamali mdogo kabisa ambae anaenda kufilisika muda si mrefu.huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.
Kwa mchanganuo wa mawazo niliopata nimefikili hili niuze nyumba nijipange upya kibiashara ila nijitaidi umakini zaidi wa matumizi .pili niingie ubia na mtu ambaye tutakubariana kufanya kazi kwa pamoja na uaminifu. Sasa mtanisaidia kutafuta wateja wa nyumba .na LA pili yupo mmojawapo atakubari kuwa mbia nami nipo tayari imladi tufanye biashara yenye uwazi. Au napo hapo Nina muhemuko jamani !
Unataka mbia wa kuwekeza kiasi gani?Kwa mchanganuo wa mawazo niliopata nimefikili hili niuze nyumba nijipange upya kibiashara ila nijitaidi umakini zaidi wa matumizi .pili niingie ubia na mtu ambaye tutakubariana kufanya kazi kwa pamoja na uaminifu. Sasa mtanisaidia kutafuta wateja wa nyumba .na LA pili yupo mmojawapo atakubari kuwa mbia nami nipo tayari imladi tufanye biashara yenye uwazi. Au napo hapo Nina muhemuko jamani !
Machiner na mota vyipo maitaji GODAUNI na malighafi tutaanzia ml 7Unataka mbia wa kuwekeza kiasi gani?