Naomba ushauri wa kibiashara nafilisika

Naomba ushauri wa kibiashara nafilisika

Basi mkuu, ktk safar yako hiyo ya kukopeshwa hela ni ngekushuri huende benk Plc Kabisa maana wengine wakikopesha hela hutoweza kurudisha kamwe pesa zao ni za mazingara!
Kuwa makini. Hito hela isije ikawa Adhabu kwako.
Kitu kingine punguza Mhemko!!!
Khasante kwa ushahuri,ila sijajua muhemko wangu ni kipiulichogundua Nina muhemko ili nijirekebishe maana akuna mkamilifu nieleweshwe mkuu
 
Mhemko nao uona hapo uko speed sana kumtafuta mtu wa kuku Push. Embu pia mwombe Mungu umshirikishe akupe mfadhili mwema.
 
Kama unaifahamu hiyo biashara na umeshaifanya zaidi ya mwaka mmoja nakushauri uza nyumba halafu upate mtaji. Nasema uwe umeifanya zaidi ya mwaka mmoja hii itakusaidia kwamba umeshajua misimu yote ya biashara yako.
Pia ni kosa sana vijana wengi wanafanya umefanya biashara kidogo umepata ten millions unakimbilia kununua kiwanja kwanini hiyo hela isiongeze mtaji upanue masoko? This is very technical error. Mjasiriamali usishindane na mfanyakazi anaelipwa mshahara kujenga. Unatakiwa upambane kwanza mtaji ukishakuwa vya kutosha uwe na uhakika hauwezi kupata liquidity problems ndo unaanza mambo hayo.
Kwa mfano mimi nimepanga after three years ndo nitafikiria kununua kiwanja baada ya kuona mambo yamekaa sawa
 
huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.
 
Mkuu unaelewa vizuri tofauti ya asset na liability? kwa sababu alichosema wa kwetu ngirini kipo sensible.
huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.
 
naelewa sana kwanini asimshauri kubadilisha makazi yake kwa kuyapangisha tofauti na kuuza na kuikalibisha hiyo liability ,
 
huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.

Basi ww ndio hujui na huna elimu ya fedha. Istoshe jamaa kamwambia afanye hvyo only if ana ufaham wa hyo biashara for more than a year.

Sasa niambie ipi bora....uuze nyumba at the current market price ui inject capital kwenye business unayo ijua with high levels of integrity and discipline au uweke rehani hyo asset ukakope fedha (God knows kama ni kwa watu binafsi au bank) then uje ulipe riba na u cover gharama za huo mkopo.

Its better uuze, upate capital ya kununua assets zingine za biashara zitakazo zalisha na u wont incur any expenses i.e. interest. Kwanza akakope ana biashara gan nyingine yenye turnover ya kulipa huo mkopo....huwez count 100/100 ya hyo venture yake from the start. Istoshe mikopo binafsi ni janga ndugu tembea uone. Ok akishajenga hyo nyumba ina generate turnover gan ?? Pesa ikielekezwa upande wa pili ita generate turnover gan ?? Which is better ??

Ushauri:

Auze hyo nyumba if he knows what he z doing. Plus awe makini katika ku minimize risks. Na siku zote mwanzo mgumu....watu wanafanya biashara na kuweka makazi hapo hapo. Always lazima ujinyime from the start. Sacrifice today's glory for tomorrow's greatness.
 
Basi ww ndio hujui na huna elimu ya fedha. Istoshe jamaa kamwambia afanye hvyo only if ana ufaham wa hyo biashara for more than a year.

Sasa niambie ipi bora....uuze nyumba at the current market price ui inject capital kwenye business unayo ijua with high levels of integrity and discipline au uweke rehani hyo asset ukakope fedha (God knows kama ni kwa watu binafsi au bank) then uje ulipe riba na u cover gharama za huo mkopo.

Its better uuze, upate capital ya kununua assets zingine za biashara zitakazo zalisha na u wont incur any expenses i.e. interest. Kwanza akakope ana biashara gan nyingine yenye turnover ya kulipo huo mkopo....huwez count 100/100 ya hyo venture yake from the start. Istoshe mikopo binafsi ni janga ndugu tembea uone.

Ushauri:

Auze hyo nyumba if he knows what he z doing. Plus awe makini katika ku minimize risks.
kwanza hakuna aliyesema kwamba aende kukopa fedha ,ushuri upo mwingi kwenye kuongeza mtaji kwa mtu aliyekwama, Mimi nilichosema ni kuwa anachopaswa kufanya ni kuanza kidogo kidogo tena kwakua biashara hii ameifanya kwa muda mrefu na anasema kuna jambo liliingilia likamtatiza kwenye biashara yake, pili nikamshauri aanze tabia ya kuweka akiba ya kile kidogo anachopata kwakua kanuni ya mikopo siku zote ni kuwa unakopa ili kuongezea kwenye mtaji wako yaani 75% ni fedha zako na 25% ni fedha za mikopo. Sasa unapokuja ushauri wa kuuza makazi yake aongeze kwenye mtaji hili nasema si wazo jema kwakua linamuweka mhusika kwenye risk kubwa kwakua hakuna anayefahamu nini kilicho mkwamisha kwenye biashara yake awali , halafu kingine ni kuwa hakutakuwa na nidhamu kubwa kwenye fedha ya kuuza mali yako na ile ya kukopa. Kaka nikuombe ufikiri tu maana kanuni yangu ni "kuwa usipo fikiri utanuka"
 
My take was:

Akiuza makazi yake at the current market price (cz lime appreciate value) na imani kabsa atapata pesa ya kuongezea kununua eneo kubwa (lita appreciate tena huko mbeleni) la biashara yake perhaps na hyo machinery (sidhani kama atakua kafulia hana viji savings vyovyote).

Na hayo ndio yatakua makazi mapya, business na turnover as an added advantage kuliko nyumba ikae idle tu na hata kama inaleta returns sio kama venture anayotaka kufanya. Makampuni makubwa huko yana liquidate sembuse huyu.

My concept was general but to the point. Akili za kupewa achanganye na zake.
 
huo si ushauri mwema , matajiri wengi wanakimbilia kununua asset wewe unataka auze asset , kuna wakati mwingine vijana mnapenda sana kukariri , swala la kujenga si baya kama unavyolifikilia wewe.
Umesema matajiri mkuu hapa hatumshauri tajiri tunamshauri mjasiriamali mdogo kabisa ambae anaenda kufilisika muda si mrefu.
Hiyo nyumba amejenga kwa biashara unadhani biashara ikifa ataimalizia. Ila biashara ikikua anaweza fanya chochote hata kwenda kujenga dubai. Ni mtazamo tuu
 
Ushauri wangu kuwa makini naona kama una pupa..unaweza kuanza kidogokidogo...ukiweka mamilion kwa pupa utarudi hapa janvini unalia
 
Tafuta parter business muwe share mpe mchanganuo mzuri wa faida usiwe na tamaa tu
 
Kwa mchanganuo wa mawazo niliopata nimefikili hili niuze nyumba nijipange upya kibiashara ila nijitaidi umakini zaidi wa matumizi .pili niingie ubia na mtu ambaye tutakubariana kufanya kazi kwa pamoja na uaminifu. Sasa mtanisaidia kutafuta wateja wa nyumba .na LA pili yupo mmojawapo atakubari kuwa mbia nami nipo tayari imladi tufanye biashara yenye uwazi. Au napo hapo Nina muhemuko jamani !
 
Kama mtaji ukishauza nyumba utatosha au kukaribia kutosha fanya mwenyewe. Ww ndio unajua uchungu wa hyo hela na una a significant stake in the business.

Badala ya kuingia ubia na mtu instead fikiria kuwa na strategic business alliances na watu husika who u share the same interest with...i.e. kama ni hayo ma plastic...wewe fanya ku specialise kwanza kwenye kuyachana chana na machinery....wengine achia wakusanye, wa pack na ununua kwao wit their transport wakuletee then uwalipe...biashara ikikuwa una tanuka ( integrate fowards or backwards ).
 
Kwa mchanganuo wa mawazo niliopata nimefikili hili niuze nyumba nijipange upya kibiashara ila nijitaidi umakini zaidi wa matumizi .pili niingie ubia na mtu ambaye tutakubariana kufanya kazi kwa pamoja na uaminifu. Sasa mtanisaidia kutafuta wateja wa nyumba .na LA pili yupo mmojawapo atakubari kuwa mbia nami nipo tayari imladi tufanye biashara yenye uwazi. Au napo hapo Nina muhemuko jamani !
Unataka mbia wa kuwekeza kiasi gani?
 
Back
Top Bottom