SUKAH
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 1,753
- 1,968
Bila shaka huo mwaka mmoja alienda kusoma Postgraduate diploma ya elimu.Kuna jambo natamani nikushauri ila silielewi vzr maana nliishia la tano sijafika huko vyuoni ila mwenye kulielewa vzr atanisaidia kuweka sawa[emoji848][emoji848] baada ya kupata degree yako unarudi tena chuo kusoma mwaka Moja mfano Kuna jamaa alisomaga animal science lkn baada ya mazingira kua magumu akarudi kusoma mwaka Moja akawa mwalimu wa biology
Sijui na-make sense [emoji16]kama nimevurunda niambeni nifute haraka