Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

Habarini WanaJF

Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.

Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific

Natanguliza shukrani
Kasome Public Health
 
Pole. Ila kuna watu kama 4 hivi wamesoma hii course na wameajiriwa kama lab scientist -botany PUSS 4.1 =1.5M Salary hivi.

So siyo mbaya sana sema ajira zimekuwa za kubahatisha sana.

Njia sahihi wa kupunguza Wimbi la course kama hizi ni kudahili wanafunzi wachache sana at least 20 per year.
 
Mkuu samahani. Take home yake kwa mtu mwenye HESLB na makato ya Kodi , bima nk inabaki ngapi?
 
Back
Top Bottom