Bila shaka huo mwaka mmoja alienda kusoma Postgraduate diploma ya elimu.Kuna jambo natamani nikushauri ila silielewi vzr maana nliishia la tano sijafika huko vyuoni ila mwenye kulielewa vzr atanisaidia kuweka sawa[emoji848][emoji848] baada ya kupata degree yako unarudi tena chuo kusoma mwaka Moja mfano Kuna jamaa alisomaga animal science lkn baada ya mazingira kua magumu akarudi kusoma mwaka Moja akawa mwalimu wa biology
Sijui na-make sense [emoji16]kama nimevurunda niambeni nifute haraka
Shukran kitu kama hichoBila shaka huo mwaka mmoja alienda kusoma Postgraduate diploma ya elimu.
Mkuu ungezitaja hizo kozi ingefaa zaidiUshauri wangu.. usije ukasima kozi ya kukugharimu Mwaka au miaka.
Soma kozi fupi zenye tija.
Inategemea yupo interested na nini? Yupo wapi kwa sasa.Mkuu ungezitaja hizo kozi ingefaa zaidi
Unaweza kufanya kazi kama biologist, mfano marine biologist, zoologist etc.....sema kozi za namna hii ukiwa majuu unaweza uka specialise ukawa bonge la researcher.Habarini WanaJF
Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.
Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific
Natanguliza shukrani
Nenda kasome MS in medical parasitology and entomology muhimbiliHabarini WanaJF
Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.
Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific
Natanguliza shukrani
Mbn ujiamini broKuna jambo natamani nikushauri ila silielewi vzr maana nliishia la tano sijafika huko vyuoni ila mwenye kulielewa vzr atanisaidia kuweka sawa[emoji848][emoji848] baada ya kupata degree yako unarudi tena chuo kusoma mwaka Moja mfano Kuna jamaa alisomaga animal science lkn baada ya mazingira kua magumu akarudi kusoma mwaka Moja akawa mwalimu wa biology
Sijui na-make sense [emoji16]kama nimevurunda niambeni nifute haraka
Sina details sana
Una umri gani
Ada unayo ya kujiendeleza
Ungeandika hata courses ambazo unahisi utazimudu na ni rahisi kuajiriwa ili wadau tuongezee
ada yake ikoje bossNenda kasome MS in medical parasitology and entomology muhimbili
Umenena point mno..shukranUnaweza kufanya kazi kama biologist, mfano marine biologist, zoologist etc.....sema kozi za namna hii ukiwa majuu unaweza uka specialise ukawa bonge la researcher.
nipe namba yako inboxmm ni KE
Kwa sasa nipo arusha..Napendelea mambo ya researchInategemea yupo interested na nini? Yupo wapi kwa sasa.
sio kitu kama hicho, ndio hicho hichoShukran kitu kama hicho
Sasa si ukawe mwalimu wa biology tu.Habarini WanaJF
Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.
Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific
Natanguliza shukrani
Comment yako na ID yako swadakta kabisa π π πnipe namba yako inbox
Jarbu kuingia web ya muhas.ada yake ikoje boss