Pinda Nhenagula
Member
- Jan 26, 2019
- 87
- 113
Habari za wakati huu wapendwa wana JamiiForums,
Nina imani kabisa hapa kwenye jukwaa kuna watu wazima na wenye elimu walio elimika. Nimekuja hapa kwa lengo la kupata ushauri wa vitu vili vinanipa utata. Mimi ni kijana nimesoma elimu ya form six nikafaulu pia kuendelea na na ngazi za bachelor lakn wazazi wangu hawakutaka mim kuendelea na badala yake wakanipeleka kwenye mradi wa kusimamia Mwalo (KWA WALE WA MGODINI JINA LA MWALO SIO GENI).
Na hapa nilipo bado na simamia mwalo wa mzee wangu yaan karasha na rundo nipo nakimbia na sasa limekuwa rundo kubwa, ila sasa kuna rafiki yangu yeye pia hakuenda chuo akapata mchongo kwenye kampuni baada ya kuunganishwa na ndugu yake hadi sasa anafanya kazi za kiofisi.
Nilimjaribu kumwambia anitafutie mchongo yaan connection na hapo hadi kimeeleweka tayar nafasi ipo. Nifanye maamuzi gani hapa maana nipo njia panda kati ya kazi ya kusimamia mradi wa mzee na kuajiriwa na kampuni kumbuka mshahara ni laki sita mwanzon then ukizowea kazi malipo ni milion mbili kwa mwezi kampuni ipo Morogoro.