Naomba Ushauri wa Namna ya Kuanzisha Taasisi Binafsi ya Upelelezi Nchini Tanzania

Yapo mengi hapa nchini hata kuwa na account ambayo sio rahisi kudukuliwa na ukawa unafuatilia vitu ukipata ushahidi wa kutosha unawatumia wahusika ili wafanyie kazi kwa sharti la kuwa unahitaji kuona wanafanyia kazi wakifeli basi mitandao iko wazi unaujuza umma black and white ya kile kinachoendelea .

Japo jizatiti haswa sababu utatafutwa wewe na clue yako mpaka uvunguni mwa viti.
 
Nothing has such power to broaden the mind as the ability to investigate systematically and truly all that comes under thy observation in life, because no man can hope to find out the truth without investigation.
So keep on trying.....
 
Bado itakuwa ngumu kufikia malengo mnayokusudia kwa sababu ni ngumu sana kwa hao unaowaita 'wahusika' kutoa ushirikiano wa dhati kwa matukio ambayo yanawahusu wao wenyewe moja kwa moja au washirika wao wa karibu
 
In bolded:
Hilo siyo lengo tarajiwa kabisa,
Only, if not extremely few will be known publicly. The rest of other members will be completely and strictly anonymous.
 
Siyo lazima mpaka Kwanza wakubali wao, kumbuka tu kwamba "the right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by by the oppressed"
Swali, je, BRELA wanaweza kusajili taasisi kama hiyo?
Mkuu kwa hili HAKI NI LAZIMA UPEWE mkuu, ila kwa mengine haki mtu hapewi bali huichukua. Ukitaka kuwa Alshakaka sijui shamama we anzisha nje ya utaratibu.
 
Kwa hapa Tz mkuu hutoboi, hata ukifanya Kwa njia za panya ni familia Yako ndio itabaki na majuto ya kukupoteza, watz wataongea siku mbili tatu wataendelea na maisha yao kama hujawahi kuwepo
 
Unataka kuanzisha cheaters ya bongo nini tuone wabongo wakipigana kisa mbususu😂😂😂😂
 
Kenya hii kitu ipo na inafanyia,ila kwa hii Jamuhuri ya stanza mambo yatakua magumu sana kwako.
Kwanza wataharibu hili wazo lako mpaka wewe mtoa wazo.
 
Cv yako tafadhali weka hapa kwanza ili ushauriwe vizuri
 
Kenya hii kitu ipo na inafanyia,ila kwa hii Jamuhuri ya stanza mambo yatakua magumu sana kwako.
Kwanza wataharibu hili wazo lako mpaka wewe mtoa wazo.
Kama jirani zetu hapo Kenya wameweza, je, hapa kwetu Tz kinashindikana nini?Kwa nini basi sisi tunashindwa au haiwezekani kufanyika?
 
Weka CV yako

Ukionyesha na work experience yako kama investigator ushauriwe
 
Kuna vitu kibongo bongo hata usijisumbue ww bora ukawekeze hata kwenye ufugaji wa mbuzi upelelezi kwenye mchi ya wagawa kesi kama njugu hutaweza fanya kazi
 
Kwani huwezi kushauri mpaka uone cv yangu?Kama hauna ushauri kuhusiana na suala hili unaweza kupita tu kimya kimya, hujalazimishwa mkuu.
Siwezi lazima CV uweke

Hiyo kazi ni Proffessional na ina hadi bodi za Private Investigators huwezi sailing tu kama unasajili kampuni ya kuuza mitumba

Proffessional firms zote duniani kote huhitaji CV za wanaotaka kusajili

Weka CV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…