YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Umeomba ushauri halafu unaleta za kuleta bila kujua unaongea na nani haya nenda huko ujuako mjinga wewePita tu kimya kimya, kukaa kimya wakati mwingine ni hekima kubwa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeomba ushauri halafu unaleta za kuleta bila kujua unaongea na nani haya nenda huko ujuako mjinga wewePita tu kimya kimya, kukaa kimya wakati mwingine ni hekima kubwa mkuu
Naheshimu mawazo yako kwani binadamu hatufanani.Siwezi lazima CV uweke
Hiyo kazi ni Proffessional na ina hadi bodi za Private Investigators huwezi sailing tu kama unasajili kampuni ya kuuza mitumba
Proffessional firms zote duniani kote huhitaji CV za wanaotaka kusajili
Weka CV
Wazo zuri sana,nikweli mimi pia natamani kuwamo ndani ya taasisi ya upelelezi..kwan katika utafutaji wangu,madudu n mengi sana kiasi kwamba wahusika wanakua km hawaoni ama cjui vipi..taasisi za kiuepelezi zikundwa zitasaidia.mfano wala rushwa ,magendo ya utoroshwaji wa shehena mbalimbali Za selikari..Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa.
Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao ninapaswa kuufata ili sasa niweze kuanzisha taasisi hiyo ambayo itakuwa legally recognized hapa nchini. Kuhusu mahitaji ya msingi ya kuanzia, yaani "manpower" na "logistics", hakuna kikwazo au changamoto kubwa sana kuhusu hilo.
Tatizo kubwa lipo kwenye utaratibu au namna ya kuanzisha na kuendesha mchakato wa kuweza ku-officiate hiyo taasisi ili itambulike rasmi na kuweza kufanya kazi zake kama tunavyodhamiria. Nimejaribu kufanya utafiti katika nchi zingine naona taasisi kama hizo zipo lakini sijafanikiwa kupata taarifa sahihi juu ya namna gani wenzetu wamefanyaje hadi kufanikisha kuwepo kwa taasisi hizo katika nchi zao.
Nafahamu humu tupo watu wengi wenye uelewa, utaalamu na ujuzi tofauti tofauti ktk nyanja mbalimbali, naomba mchango wenu kuhusu suala hili kwani penye wengi haliharibiki neno. Je, hatua zipi au utaratibu upi ninapaswa kufuata ili niweze kusajili taasisi ya aina hii? Mamlaka ipi hasa ambayo inahusika na suala hili?
BRELA? Au RITA? Au nyingine zipi? Sheria gani hasa (endapo kama zipo) ambazo zinahusika na suala hili?
Ushauri wenu ni muhimu sana katika hili ili niweze kufanikisha lengo langu hili. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Karibuni.
Amina mkuu.Umeomba ushauri halafu unaleta za kuleta bila kujua unaongea na nani haya nenda huko ujuako mjinga wewe
No and NEVER.Cv yako tafadhali weka hapa kwanza ili ushauriwe vizuri
Na wala huhitaji kujuanaAmina mkuu.
Nimeleta hoja hii hapa ili kuomba ushauri tu wala siyo kutaka kujuana na mtu yoyote yule hapa.
Asante sana mkuu kwa kushiriki mjadala huu.
Brela inasajiri makampuni ya biashara pekee. UsiwaoneeSiyo lazima mpaka Kwanza wakubali wao, kumbuka tu kwamba "the right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by by the oppressed"
Swali, je, BRELA wanaweza kusajili taasisi kama hiyo?
Hata hii ninayotaka kusajiri itakuwa ni taasisi ya ki-biashara pia, siyo non-profit organization. Itakuwa ni taasisi au kampuni ya kutoa biashara ya huduma.Brela inasajiri makampuni ya biashara pekee. Usiwaonee
Thanks!Kila la kheri, usisahau kuleta mrejesho.
Lakini binafsi nakuunga mkono kwa wazo,kama taifa tunahitaji hii kitu maana mamlaka husika naona kama zimezidiwa.
Mwenyezi Mungu Akuongoze akupe kibali pia wahusika wakuelewe.
Nakuombea.
Kumbuka ya kwamba hichi kitu ni kipya kabisa ktk ardhi ya nchi hii, hakuna precedent yoyote ambayo unaweza kufanya marejeo, ni wazo jipya akilini mwa watu.Kwa hiyo natafuta namna nzuri na iliyo bora zaidi ili iweze kueleweka na watu wengi zaidi na iweze kukubalika kwa urahisi, watu wasiwe na doubt au mtizamo hasi dhidi yake. Refer ugumu uliokuwepo na mitizamo hasi iliyokuwepo miaka ya 1980's na 1990's dhidi ya Muziki wa Bongo Fleva katika kuanzishwa kwake hapa nchini. Wanamuziki na Wasanii wengi wa mwanzo wa bongo-fleva walionekana kama wahuni na wavuta bangi.Sitaki wazo langu hili litumbukie kwenye mkumbo huu. Nadhani umenielewa kwa sasa.Ina maana umeshindwa kuchunguza ujue unaanzia wapi? Utaiweza hio kazi kweli?
wadzelino Detective 1573Jamani naomba tuelewane, Mimi nimeomba ushauri hapa jukwaani kwa uwazi kabisa with good & clean intention, lakini kuna watu wa hovyo wanakuja kwenye inbox yangu kuomba namba zangu za simu. Nitoe ilani kwamba kama huna ushauri wa kutoa kuhusu Jambo hilo nililoeleza hapa kwenye thread yangu ni vyema ukapita kimya kimya, siyo lazima uchangie kitu chochote.Aidha, sihitaji contacts za mtu yoyote hapa ili kujadiliana naye kuhusu Jambo hili.
Wewe kama una ushauri ambao ni genuine kabisa na kama kweli una nia njema ya kunipatia Mimi basi ushauri huo ni vyema ukaeleza hapa hapa jukwaani kwa uwazi, ukweli na uaminifu ili kila mmoja hapa apate kujifunza, siyo kuja kwa kificho kwenye inbox yangu na kuanza kuleta usumbufu wa kutaka mawasiliano yangu. Sipendi usumbufu katika hili.
Vile vile, ikumbukwe kwamba mpaka nimekuja kuomba ushauri hapa wa kutaka kuanzisha taasisi au kampuni ya upelelezi ni kutokana na kuwepo kwa mahitaji halisi na ya lazima ya wananchi wengi ktk nchi yetu hii, siyo kwamba nimekurupuka ktk kutaka kuanzisha jambo hili.
Naomba ieleweke hivyo.
cc: Wadzelino
Detective 1573
Nashukuru sana kwa mchango wako huu wa mawazo. Nimeupokea kwa mikono miwili. Mungu akubariki. Ikiwa utapata tena Jambo lingine kuhusiana na suala hili, usisite kuliongeza hapa ili umma ufaidike zaidi na zaidi.Wazo lako ni zuri japo inaonekana kwa members wengi kuona kama haiwezekani. Ila binafsi naona hili linawezekana kama utafuata taratibu zifuatazo ambazo hazitofautiani sana na usajili wa kampuni binafsi za ulinzi
A: USAJILI- BRELA
Hapa utafuata taratibu zote za awali za usajili wa kampuni ambapo kama vile:
1. Mtatakiwa kuwa wanahisa kuanzia wawili na kikomo ni 50
2. Mtaandaa Memorandum lkn maudhui yake ukiangalia mwongozo wa ISIC CLASSIFICATION kipengele N (80), vipengele vidogo 801,802 na 803 vitakamilisha maudhui ya Memorandum yako
3. Vielelezo vingine kama NIDA ID, TIN vitahusika
4. Wakati unafanya maombi haya endelea na tqratibu hizi chini
B: KUPATA KIBALI TOKA KWA IGP
1. Anzia mtaani kwako kuwasilisha muhtasari wa nia yenu ya kuanzisha kampuni ya upepelezi
2. Kamati ya eneo lako itajadili na maazimio kusogezwa mbele kwa ngazi za a. Mtaa b. Kata c. Tarafa d. Wilaya na e. Mkoa
3. Ngazi ya mkoa itajadili suala lako kupitia kikao cha ulinzi wa mkoa juu ya kupata na kukubaliwa. Kumbuka kuna maswali na tetezi mbalimbali jiandae kuhojiwa na kuwa na ufasaha wa kujibu
4. Kama utakubaliwa katika ngazi zote hizo mwisho utapata majibu ya nia yako na kuiwasilisha wizara ya mambo ya ndani ambapo litajadiliwa. Kwa wakati huooooooo (kuna kazi niliifanya yafanana na hii) ilikuwa inapitishwa na IGP
Turudi BRELA Tena
Huku kumbuka huwa wanataka kibali toka kwa IGP cha kukuruhusu kufanya kazi hizo za investigation, ulinzi na zifananazo na hizo. Hivyo, utaambatanisha kibali hicho na kupitishwa. Ni jambo fulan lenye kuwa na mchakato mrefu kidogo wa muda na subira. Kama huna subira utaishia njiani. Pia kuna malipo ya hapa na pale
C: USAJILI TIN
Kampuni ikishasajiliwa BRELA basi utamaliza na taratibu za kawaida za kusajili TIN upande wa Mamlaka ya kodi kwa ajili ya kulipa kodi na mengineyo.
D. LESENI -Manispaa
Kumbuka kibali cha IGP sio leseni hivyo utakamilisha taratibu za kupata leseni kutoka eneo lako husika zilipo ofisi
Angalizo
1. Suala la CV zenye sifa stahiki katika kazi yako sio option ni lazima na hujadiliwa katika vikao mbalimbali. Hivyo kuanzia wakurugenzi na staffs wako wawe na wasifu mzuri
Mwisho
Penye nia pana njia, songa mbele utafanikiwa Mola akipenda
Ukifanikiwa uniajili hutojutaTangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa.
Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao ninapaswa kuufata ili sasa niweze kuanzisha taasisi hiyo ambayo itakuwa legally recognized hapa nchini. Kuhusu mahitaji ya msingi ya kuanzia, yaani "manpower" na "logistics", hakuna kikwazo au changamoto kubwa sana kuhusu hilo.
Tatizo kubwa lipo kwenye utaratibu au namna ya kuanzisha na kuendesha mchakato wa kuweza ku-officiate hiyo taasisi ili itambulike rasmi na kuweza kufanya kazi zake kama tunavyodhamiria. Nimejaribu kufanya utafiti katika nchi zingine naona taasisi kama hizo zipo lakini sijafanikiwa kupata taarifa sahihi juu ya namna gani wenzetu wamefanyaje hadi kufanikisha kuwepo kwa taasisi hizo katika nchi zao.
Nafahamu humu tupo watu wengi wenye uelewa, utaalamu na ujuzi tofauti tofauti ktk nyanja mbalimbali, naomba mchango wenu kuhusu suala hili kwani penye wengi haliharibiki neno. Je, hatua zipi au utaratibu upi ninapaswa kufuata ili niweze kusajili taasisi ya aina hii? Mamlaka ipi hasa ambayo inahusika na suala hili?
BRELA? Au RITA? Au nyingine zipi? Sheria gani hasa (endapo kama zipo) ambazo zinahusika na suala hili?
Ushauri wenu ni muhimu sana katika hili ili niweze kufanikisha lengo langu hili. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Karibuni.
Mmmhh!?!?!!Ukifanikiwa uniajili hutojuta