You are not alone.
Kipindi naanza sekondari mzazi aliwahi itwa shuleni na kuhojiwa kama niliwahi kupitia abuse ya aina yoyote nyumbani. Mzee wangu is the most polite person i've ever seen na sina kumbukumbu kwamba aliwahi hata kunipiga kofi. Hili sio suala la abuse kama baadhi wanavyosema.
I don't know exactly what happened, but somehow i managed to convert shyness into seriousness[emoji3][emoji3]
Ninapo pata uoga hua nakua serious ( sura wambuzi), hivyo hainipi shida tena kuongea mbele za watu au kuzungumza na mtu ambae sijamzoea. Japo eye contact bado ni tatizo.
When i have to speak naongea hasa (nikiwa serious), tena nafahamika kwa ubishi pale ambapo nahisi naburuzwa.
Mimi ni mtu wa michezo na marafiki wengi nimewapata kwenye michezo.
Nimepoteza fursa nyingi sababu ya kukwepa watu, lakini sijilaumu sababu ndivyo nilivyo. Kua serious kunasaidia lakini hakubadili ukweli kwamba nina struggle kuwasiliana na watu. Mara nyingi userious unafukuza watu wapya.
Nimepata shauku ya kujua "wewe na mkeo mlikutana aje??"[emoji3][emoji3] Maana mimi binti anaweza nivutia ila nikampita nikiwa serious na kujifanya sijamuona[emoji23][emoji23][emoji23] baadae akishapotea naanza kujuta.
You are not alone.