Hizo gharama za mikopo , inajumuisha gharama za kumtembelea mteja, kukagua dhamana., Ghara
Nimesoma na kuelewa .
Ok
Kwa watumishi make sure, kigezo cha kwanza awe ni mtumishi wa serikalini hawa wa sekta binafsi achana nao,( Labda wa afya),. Ukipata wanajeshi pia utaenjoy sana...usikopeshe walimu utalia na kusaga meno🤒🤒( just kidding)
Riba ya watumishi make sure inapanda kutokana na mda watakaokaa na mkopo wako, ukiaanza na 30% kwa mwezi mmoja, 40% miezi miwili na 50% miezi mitatu.. Inategemea sasa na competition ya eneo ulilopo( unaweza kupunguza kidogo ili uwawini wenzio ambao unahisi wanaweza kukutoa mchezoni )..
Nikiwa na maana kwamba mfano, akichukua Tsh.100000 ndani ya mwezi mmoja atatakiwa kulipia Tsh 130000,. Kama atalipa ndani ya miezi miwili atatakiwa kulipia Tsh 140000, means mwezi wa kwanza utamkata 70000 na mwezi wa pili tsh 70,000. Na kama atalipa ndani ya miezi mitatu means atatakiwa kulipa 150, 000, utamkata 50,000 kila mwezi ndani ya miezi mitatu.
Kama kweli unataka kupata faida make sure mikopo yako haizidi mda wa miezi mitatu,( Hiyo ndo iwe maxmum) akitaka ya kuanzia sita hadi mwaka aende Bank..
Watumishi hakikisha wanakuachia kadi pamoja na pins zao kama dhamana, pamoja na bank statements walau za miezi6 hadi mwaka,.., Pamoja na fomu ya uthibitisho kutoka kwa afisa utumishi wake ili ujihakikishe kama kweli anafanya kazi kitengo husika,
Kuhusu penalties nadhani nitakuelekeza wakati mwingine,, Soma kwanza hii ukielewa tuendelee na Mikopo ya watu binafsi🙏