AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
Watumishi , wajasiriamali wadogo , ila sharti number Moja lazima uwache dhamana yenye Thamani mara Moja na nusu or mara mbili yake.Mkopo wako walengwa ni kina nani???, watumishi, wajasiriamali au watu binafsi??
Kama ni wajasiriamali wadogo wadogo nakushauri weka riba asilimia 20% na 4% gharama ya fomu( kama taratibu nyingine za ukaguzi na utambulisho wa serikali za mtaa na malipo ya software kama unatumia)... Wajasiriamali weka utaratibu wa kua wanaleta marejesho kila siku ili kupunguza risks za kupoteza hela, walau mpaka mwezi ukiisha hatakama anakua hajamaliza basi deni libaki kidogo tofauti na ukimpa mwezi mzima alipe sikumoja kwa MJASIRIAMALI mdogo ni changamoto kupata hela kwa pamoja...., Kabla hujampa hela make sure unathaminisha dhamana zake walau ziwe na thamani mara mbili au mara tatu ya hela anayochukua,. Na awe na wadhamini wasiopungua wawili na hakikisha wote wanasign siku ya kuchukua mkopo ili iwe rahisi kupata msaada siku kukitokea changamoto
Achana na hii zingatia maelezo ya Leejay49 ,yazingatie sana.Watumishi , wajasiriamali wadogo , ila sharti number Moja lazima uwache dhamana yenye Thamani mara Moja na nusu or mara mbili yake.
Hizo gharama za mikopo , inajumuisha gharama za kumtembelea mteja, kukagua dhamana., Gharama za uendeshaji mkopoInterest rate 3.5% kwa io gharama ni 6.5%? Hapo sijaelewa
Bongo biashara ya kukopa pesa hasa Hawa wajasiriamali na watumishi kwa njia ya wao kuacha kadi inahitaji ukauzu sana, nunua panga kabisa jipya hapo
Wenzako Wanaweka riba ya 20% kwa mwezi na Kila siku wanafunga
Niliwahi kufanya hii kazi, ujinga wa hii kazi ni mmoja, wakiskia umefungua ofisi mpya watakuja kama mvua, hua wanaita chimbo jipya, ila sasa Hawa ni wale wadaiwa sugu ambao washakimbia na madeni karibu ofisi zote eneo Hilo, hawakopesheki tena
Ni sawa na mtu ana deni songesha, m PAWA, mgodi, chomoka etc siku akiona huduma mpya ya kukopa pesa anaikimbilia fasta, maana kwingine hakopesheki,na Hana Nia ya kulipia
Na ujinga ni kua hizo ofisi zilizokuzunguka hawawezi kukupa data zao ukawajua wasumbufu, kua makini ndugu wabongo kukopa sherehe kulipa matanga
Soma kwanza huo utaratibu wa wajasiriamali ukielewa vizuri niambie nikupe mbinu za watumishi na watu binafsiWatumishi , wajasiriamali wadogo , ila sharti number Moja lazima uwache dhamana yenye Thamani mara Moja na nusu or mara mbili yake.
Hizo gharama za mikopo , inajumuisha gharama za kumtembelea mteja, kukagua dhamana., GharaInterest rate 3.5% kwa io gharama ni 6.5%? Hapo sijaelewa
Bongo biashara ya kukopa pesa hasa Hawa wajasiriamali na watumishi kwa njia ya wao kuacha kadi inahitaji ukauzu sana, nunua panga kabisa jipya hapo
Wenzako Wanaweka riba ya 20% kwa mwezi na Kila siku wanafunga
Niliwahi kufanya hii kazi, ujinga wa hii kazi ni mmoja, wakiskia umefungua ofisi mpya watakuja kama mvua, hua wanaita chimbo jipya, ila sasa Hawa ni wale wadaiwa sugu ambao washakimbia na madeni karibu ofisi zote eneo Hilo, hawakopesheki tena
Ni sawa na mtu ana deni songesha, m PAWA, mgodi, chomoka etc siku akiona huduma mpya ya kukopa pesa anaikimbilia fasta, maana kwingine hakopesheki,na Hana Nia ya kulipia
Na ujinga ni kua hizo ofisi zilizokuzunguka hawawezi kukupa data zao ukawajua wasumbufu, kua makini ndugu wabongo kukopa sherehe kulipa matanga
Nimesoma na kuelewa .Soma kwanza huo utaratibu wa wajasiriamali ukielewa vizuri niambie nikupe mbinu za watumishi na watu binafsi
Vinginevyo atarud hapa analiaThanks🤝🤝
OkHizo gharama za mikopo , inajumuisha gharama za kumtembelea mteja, kukagua dhamana., Ghara
Nimesoma na kuelewa .
zidisha riba na hakikisha ni mkopo kausha damu ,nakupa mwaka wewe ushakuwa benki kabisa na tajiriWadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo.
Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana.
Jumla ya Gharama na Riba 10%.
Wadau naomba mnipe MBINU zaidi niwezi boresha Hii huduma Kwa upana zaidi.
Atafunga na kufilisika ndani ya mwaka mmoja tu asipokua makini😂😂Vinginevyo atarud hapa analia
Mwaka mrefu sana, biashara za fedha hiz usiweke uungwana mbele kama hiv anavyofanya.Atafunga na kufilisika ndani ya mwaka mmoja tu asipokua makini😂😂
Mkopo wako walengwa ni kina nani???, watumishi, wajasiriamali au watu binafsi??
Kama ni wajasiriamali wadogo wadogo nakushauri weka riba asilimia 20% na 4% gharama ya fomu( kama taratibu nyingine za ukaguzi na utambulisho wa serikali za mtaa na malipo ya software kama unatumia)...
Wajasiriamali weka utaratibu wa kua wanaleta marejesho kila siku ili kupunguza risks za kupoteza hela, walau mpaka mwezi ukiisha hatakama anakua hajamaliza basi deni libaki kidogo tofauti na ukimpa mwezi mzima alipe sikumoja kwa MJASIRIAMALI mdogo ni changamoto kupata hela kwa pamoja....,
Kabla hujampa hela make sure unathaminisha dhamana zake walau ziwe na thamani mara mbili au mara tatu ya hela anayochukua,.
Na awe na wadhamini wasiopungua wawili na hakikisha wote wanasign siku ya kuchukua mkopo ili iwe rahisi kupata msaada siku kukitokea changamoto ( Make sure wote watatu wanaambatanisha passport na copy za vitambulisho na muhuri wa kiongozi wa mtaa kwenye fomu yake ya kuombea mkopo)
The last but not least, make sure unakua na system nzuri ya managements( hapa nazungumzia microfinance software's za uhakika kama FIMA), Japo wana cost ghali lakini ufanisi wake ni mkubw
Hapana Hii inatakiwa iwe huduma , Tusiumize watu na kuwafilisizidisha riba na hakikisha ni mkopo kausha damu ,nakupa mwaka wewe ushakuwa benki kabisa na tajiri
Kama uko na mentality hii sahau kuhusu kutajirika kupitia microfinacesHapana Hii inatakiwa iwe huduma , Tusiumize watu na kuwafilisi
wenzako wametoka kwa kufanya hivo.nchi ukiendesha kama msikiti wa madina utaishia kuchekwaHapana Hii inatakiwa iwe huduma , Tusiumize watu na kuwafilisi
Hela haiitaji huruma aisee,, Ilibaki kidogo tu niingie shimoni😂😂Mwaka mrefu sana, biashara za fedha hiz usiweke uungwana mbele kama hiv anavyofanya.