Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

Mungu alikupa mwanaume uwezo wa kumjaza mimba mwanamke hata ukiwa na miaka 90, lakini mwanamke 40 tu kupata mimba ni mbinde.

Halafu anakuja mtu anakushauri mwanaume eti kufunga kizazi. Never
Kwahiyo Miaka 90 bado unawaza kuzaa?
 
Hahaha wee jamaa bana, ningekuwa karibu Yako ningekukata makofi kadhaa ili kukutoa wenge maana una mawenge kinoma, kwanza watoto kama hao wanakuwaga na mibaraka tele ndio wale baadae wanakimbiza kwenye maisha, halafu huwaga wanagundua kuwa nyie mapang'ang'a wawili mulikutanisha vikojoleo vyenu kwa starehe zenu bila kujua siku za kushika mimba ni zip na utu uzima wenu huo Tena mkeo anashindwa kujua kuwa yupo denja days yeye kaz kupokea tu mshedede ikichomoka anarudishia, wanajuaga mulimkataaga aise wanakuwaga na visasi vibaya hao machalii ..iyo bro wee Anguka nayo hiyoo. .
.Raha ya mechi bao, umefunga baada ushangilie unaanza kulia lia ...Alaaah,,
 
Mkuu mtoto ni baraka kwa MUNGU ,wala usipate hofu jinsi ya kumtunza,,
Ondoa stress mwache aje kwa baraka za MUNGU.

Ktk suala ya kufunga uzazi sikushauri kufanya hivyo,,,miaka 35 bado ni mdogo sana kwa kufunga uzazi,,

Ningekushauri uwe una mwaga nje wakati wa tendo ,,
lakini hili la kumwaga nje ni sawa na kuruka kutoka kwenye train ya umeme yenye speed kali.,.
Wanaume wengi tunashindwa kwa hilo.
 
Uko kwenye ndoa na maana ya ndoa ni uzao!. Chukulieni kuwa mmejiwekea lengo jipya la kuwa na watoto watano sasa, ila safari nyingine muwe makini na mzingatie uzazi wa mpango!...

Msiruhusu tena kuchezea Shillingi yenye thamani juu ya tundu la choo.
Mkeo aanze mapema kuhudhuria kliniki ya wajawazito.

Kila lakheri.
 
Ahsante sana chief
 
Back
Top Bottom