Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

Tamthilia zinatuharibu,watoto watano tu mnalia na kununiana,mwenzio nina watoto saba,kwetu tulizaliwa kumi na maisha yanasonga,relax
Ahahahahah...sio tamthiria kaka mkubwa. Ni mshtuko tu kinyume na mategemeo.
 
Japo hujasema ila inaoneka kuna kitu zaidi ya uliyoyasema kwenye uzazi wenu kwasababu sioni sababu ya nyie kuwa frustrated na suala la mimba wakati mmeshapitia hiyo stage mara nne kwahiyo mna uzoefu wa kutosha.
Tafuta siku nzuri mkae na mkeo mzungumze mkishawekana sawa ombeni toba kwa Mungu kwasababu mmekosea kunun'gunika kwa kiwango hicho. Then jiandaeni kumpokea mtoto wenu mzuri mtakaempata na tafuteni jina litalokuwa na ushuhuda kumhusu.
Kila la heri
 
Ilinitokea mm pia, miaka kadhaa iliyopita, kidogo tuitoe ile Mimba ila baada ya kuwaza tena na wife tukaona hii zambi itatutafuna miaka yote ya maisha yetu hapa duniani, hakuna namna ilibidi kukubaliana na hali tu, mtoto kuzaliwa kafanana na mm kuliko wote waliopita, dogo now yuko shule afu kana akili sana, M/Mungu amjalie sana, Leo namtazama nafsi inanisuta kiaina.
Nikupe moyo, ni mipango ya Mungu, huwezi jua,
Nb: njia za uzazi wa mpango ni muhimu ile ya kalenda ni bahati nasibu.
 
Ongera sana kwa kuongeza familia mkuu, usiwaze mtalaamu suala la kupata ujauzito wife wako ni jambo la heri kabisa labda kama ana changamoto ya uzazi ambayo ndio inawafanya muwe na msongo wa mawazo, ila mtoto ni baraka mpokeeni kwa mikono miwili
 
Japo hujasema ila inaoneka kuna kitu zaidi ya uliyoyasema kwenye uzazi wenu kwasababu sioni sababu ya nyie kuwa frustrated na suala la mimba wakati mmeshapitia hiyo stage mara nne kwahiyo mna uzoefu wa kutosha.
Tafuta siku nzuri mkae na mkeo mzungumze mkishawekana sawa ombeni toba kwa Mungu kwasababu mmekosea kunun'gunika kwa kiwango hicho. Then jiandaeni kumpokea mtoto wenu mzuri mtakaempata na tafuteni jina litalokuwa na ushuhuda kumhusu.
Kila la heri
Nashkuru chief, ni kwel sikutaka kuandika kilankitu kuepusha kuwachosha watu na mambo mengi ila nitazingatia ushauri wako
 
Ilinitokea mm pia, miaka kadhaa iliyopita, kidogo tuitoe ile Mimba ila baada ya kuwaza tena na wife tukaona hii zambi itatutafuna miaka yote ya maisha yetu hapa duniani, hakuna namna ilibidi kukubaliana na hali tu, mtoto kuzaliwa kafanana na mm kuliko wote waliopita, dogo now yuko shule afu kana akili sana, M/Mungu amjalie sana, Leo namtazama nafsi inanisuta kiaina.
Nikupe moyo, ni mipango ya Mungu, huwezi jua,
Nb: njia za uzazi wa mpango ni muhimu ile ya kalenda ni bahati nasibu.
Haya mambo haya mimi kalenda ilinisaliti mpaka mr akaanza kusema au umenibambikizia,kwanza mtoto alikuwa bado mdogo sana jamaa alipanic akasema tuitoe,mi nikamwambia sina mpango huo hata sir God hawezi kunielewa,badae akarudi kwenye mstari mambo yakawa sawa tu.
 
We nawe! Unajipa stress za bure tu

Watoto ni wako wewe!!?

Mungu Alisha plan sura za viumbe vyake vijavyo kabla ya misingi ya ulimwengu kuwekwa!refer Yeremia alipoambiwa na Mungu kuhusu yeye kuwa alimjua kabla hajaiumba Dunia!!!!

Na huyo aloemo tumboni ni WA Mungu sio wako wewe ni chombo tu Cha kufyatua tofali!!

Halafu mwanamme unaogopaje Mimba!!?

Sasa nakwambia huyo atakae zaliwa ndio Game changer yaani ataondoa vizuizi vyote mnavyopitia maishani huyo ndio Designated survivor was familia yako!!

Nenda kamshukuru Mungu mkuu Kwa yote yale kumhusu!!!!

Watu tunawaza kuongeza wake ili tuzae nyie mnaogopa mimba!

So sad!
Nakazia hapa.

Nyie hamkupanga lakini Mungu alipanga kua huyo mtoto lazima azaliwe wakati huo.

Nakumbuka mimi na wife tulipitia stress kidogo baada ya mimba ya mtoto wa pili kuingia wakati wa kwanza bado hajakua vizuri.

Tuliamua kutomwaga damu, isitoshe watoto ni zawadi, tukakubaliana nalo, na Mungu mwema safari ya miezi tisa tumeimaliza.

Hakikisha unakua karibu na mke wako, muonyeshe upendo mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom