Kwahiyo Miaka 90 bado unawaza kuzaa?Mungu alikupa mwanaume uwezo wa kumjaza mimba mwanamke hata ukiwa na miaka 90, lakini mwanamke 40 tu kupata mimba ni mbinde.
Halafu anakuja mtu anakushauri mwanaume eti kufunga kizazi. Never
MUngu aliwekeza kitu serious sana kwa wanaume linapokuja suala la mpango wa dunia kujawa na watuNdio, ikitokea kuna ulazima wa mtu kupewa mimba nampa, hata kama ikitokea nikikojoa ndio 1kwa1
Mwanaume mpumbavu tu ndo anayeweza funga kizaziUshauri.
Mmoja au wote mfunge kizazi, au wife atumie zile njia za kuzuia uzazi.
Kwann chief unasema hivyo?Mwanaume mpumbavu tu ndo anayeweza funga kizazi
Ahsante sana chiefUko kwenye ndoa na maana ya ndoa ni uzao!. Chukulieni kuwa mmejiwekea lengo jipya la kuwa na watoto watano sasa, ila safari nyingine muwe makini na mzingatie uzazi wa mpango!...
Msiruhusu tena kuchezea Shillingi yenye thamani juu ya tundu la choo.
Mkeo aanze mapema kuhudhuria kliniki ya wajawazito.
Kila lakheri.