Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu umefika mbali sana. Mie nakufuatilia sana. Kuna watu walikukatisha tamaa sana ila naona nguvu ya ndani inashinda ile ya nje. UTAFIKA TU.Bado Niko mbalina kuku elfu 5 kwa sasa na kuku 1100 wa mayai. Chotara soko lake nichangamoto.
Kwa sasa namtu mmoja anaewaangalia namlipa elfu 50 Kila week.
Pia naendelea na ujenzi wa Banda lingine kubwa la kuku elfu Moja.
Asante.