Naomba ushauri wako nasaha juu ya kufikia malengo ya kuku elfu 5 ndani ya mwaka mmoja na miezi sita

Bado Niko mbalina kuku elfu 5 kwa sasa na kuku 1100 wa mayai. Chotara soko lake nichangamoto.

Kwa sasa namtu mmoja anaewaangalia namlipa elfu 50 Kila week.

Pia naendelea na ujenzi wa Banda lingine kubwa la kuku elfu Moja.

Asante.
Mkuu umefika mbali sana. Mie nakufuatilia sana. Kuna watu walikukatisha tamaa sana ila naona nguvu ya ndani inashinda ile ya nje. UTAFIKA TU.
 
Hio post ya juu hapo ni Banda jipya nimeweka oda ya vifaranga wengine 1000, Navipokea mwezi wa 3. Ni either nipoteze pesa au niongeze pesa, acha wanaoendelea kukosoa waendelee lakini malengo ntayafikia badala ya kufikisha elfu 5 kwa ajili ya kuuza kama nyama. Nahitaji kuku elfu 5 wa mayai.

Na bahati nzuri hawa nilio nao sasa wanataga vizuri, kwahio watatunza vifaranga vikiingia.

Uzuri nikua kipato changu kinajitosheleza bila hata kutegemea kuku, kwahio Sina Cha kunizuia.
 
Mkuu hao kuku 1000 kwa siku unaokota mayai mangapi? je chakula unanunua ama unaanda mwenyewe? unaweza share nasisi hata picha?
 
Trey 27 mpaka 30 hua inacheza hapo, Mimi chakula nanunua, nafanyiwa bei ya agent. Kuhusu picha nshajaribu kuziweka page za nyuma lkn huwa nazifuta.

Na nashukuru kampuni ambayo ambayo huwa nachukua vifaranga wamesema Mimi ni mmoja wa wafugaji wenye maendeleo mazuri kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza kuanza kufuga kuku wa mayai lkn nimekua na matokeo ya kustajabisha. Na nimepewa offer ya kupeleka kijana wangu kwenye mafunzo na wanamlipia Kila kitu, kwa muda wa week 2.

Unahitaji picha ya kuku hao wanaotaga au unahitaji picha ya banda jipya?
 
Hongera sana mkuu. Tunajifunza kwako Kwa undani mno.
Nilikuwa nahitaji picha za mabanda hata kuku pia.
 
Trey 27 mpaka 30 hua inacheza hapo, Mimi chakula nanunua, nafanyiwa bei ya agent. Kuhusu picha nshajaribu kuziweka page za nyuma lkn huwa nazifuta.

Na nashukuru kampuni ambayo ambayo huwa nachukua vifaranga wamesema Mimi ni mmoja wa wafugaji wenye maendeleo mazuri kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza kuanza kufuga kuku wa mayai lkn nimekua na matokeo ya kustajabisha. Na nimepewa offer ya kupeleka kijana wangu kwenye mafunzo na wanamlipia Kila kitu, kwa muda wa week 2.

Unahitaji picha ya kuku hao wanaotaga au unahitaji picha ya banda jipya?
silverlands hao...wako vizuri nilipata mafunzo kwao
 
Kazi yako ni njema mkuu hongera sana. Nawiwa kama muda utanitosha nitafika Tanga nijifunze kitu. Hongera sana mkuu.

kg50 ya chakula cha layers unanunua sh ngap na kwa siku wanakula kg ngapi hao kuku 1000?
Jumla ya kuku nilinunua 1100 wakafa 13 mpaka sasa, ingawa mara nyingi Huwa nasema tu wapo 1000.

Kg 50 nanunua kwa sasa elfu 59, kwa siku wanakula kg 143, kama mifuko 3 tu. Lakini pia hua kwa mwezi wanakula mchicha wa 270,000.
 
Mayai unauzaje kwa trei na uko wapi/mkoa/wilaya?
 
abari nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa mayai kwa sasa Nina kuku 200 japo nikiagiza 300 ila 100 walikufa kwa kua vitovu vyao vilikua havijakauka napenda kujifunza mambo kadhaa kutoka kwako hasa jinsi ya kuwahudumia Hawa viumbe changamoto na swala la madawa
 
Back
Top Bottom