Naomba ushauri wako nasaha juu ya kufikia malengo ya kuku elfu 5 ndani ya mwaka mmoja na miezi sita

natamani kukufundisha mengi juu ya huo ufugaji lakini ni mambo mengi na nikianza hapa kumaliza ni ngumu kupitia reply moja kikubwa ukitaka kufuga kwanza ni vyema kujua namna ya kuwakinga mifugo yako na magonjwa,wadudu udumavu na ubora wa kile unacho kifuga
kuna vitu huwezi vipata kupitia vitabu bali ni kupitia pale unapofanya
nakushauri anza kumsoma kuku kwanza,hakika hutoyumbishwa nakwambia hivyo kwani na utalamu juu ya hayo mambo kwa zaidi ya miaka 25 nimemsoma kuku kunzia niko kidato cha kwanza, adv katika somo la AGRI sahivi nafikiri limefutwa pale galanos

piga hesabu za ulishaji jua njia za kukata gharama bila kuharibu production, soko lipo endapo kuku wako mtu akiwaona wanavutia.na kwa hiyo idadi kubwa unayotaka kuwa nayo hakikisha unapesa ya kuwalisha hao kuku kwa miezi mitatu mbele hii itakusaidia kutoyumbishwa sokoni
Wazo la mtoa mada ni zuri ila ninadhani kuna elimu amekosa kuhusu kuku maana nimeangalia tu hiyo picha ya banda la kuku nimechoka kabisa. Banda la kuku linatakiwa kuwa na hewa inayotembea yaani inaingia upande huu inatokea ule.
Banda halina hewa ya kutosha hivyo magonjwa ni rahisi kuingia na kushambulia mifugo yote kwa kuwa hakuna mzunguko wa hewa

Kujifunza kuhusu kuku na mambanda yao ingia kwenye youtube ya Dr. Daniel wa Uganda inaitwa Farm Up.

Nachokushauri pata elimu kuhusu ufugaji, fanya research kuhusu kuwakuza, kuwatibu, masoko nk. Kufikia kuku 5000 ni shughuli inahitaji mtaji na uzoefu wa kutosha jipe muda mrefu baada ya kupata uzoefu
 
Asante mkuu Kwa unachosema, lakini kabla sijaingiza vifaranga Silverland walikuja kukagua mabanda, na yakafanyiwa marekebisho ndio nikaruhisiwa kuingiza vifaranga, lakini pia nachoshukuru ndani ya vifaranga waliowahi kuingia mpaka Sasa vimewahi kufa vifaranga 12 tu, kwenye vifaranga 800. Lakini pia Silverland huja kunitembelea at least Kwa week mara Moja mtu wao anapita. Lakini hata pale napomuhitaji anakuja.

Badoo nipo kwenye kwenye phase ya kujifunza, kwahio nakaribisha ushauri lakini siwezi kuchukua Kila ushauri wa mtandaoni.
 
Mwaka 2019 nilikua nna wazo kama lako, na ni mawazo ya wafugaji wengi sana. Tofauti yangu na wewe ni idadi ya mifugo mi nilitamani nifikishe 1000 ndani ya mwaka mmoja we unahitaji kufikisha 5000 ndani ya mwaka na nusu.

Nilianza vizuri japo sikufikia malengo na nnaendelea kufuga mpaka leo lakini nilijifunza yafuatayo;

KWANZA
Kufuga kuku chotara ili umuuze kwa ajili ya nyama (kwa kutegemea soko la kawaida tofauti na special oder) zaidi ya miezi mitatu haitakulipa. Wanunuzi wengi wananunua kuku si zaidi ya 10,000 (ila inategemea na eneo ulipo hii ni kwa experience ya eneo nililopo.)

Hivyo basi hakikisha mipango na malengo yako yanachezea humo.

PILI
Hakuna tija(wala sio sifa) ya kuwa na kuku wa nyama 5000 kwa wakati mmoja ambao running cost inapanda kuliko selling price (mfano kuku 100 wanaweza wakala mfuko mmoja wa 80,000 lakini gharama yake ya kuuzwa ikalingana na kabla kula mfuko huo( labda wawe wa mayai ambao utakua unaokota mayai kila siku.

Hivyo basi ni bora ukawa na batch ya kuku wachache ambao watatoka kwa wakati tofauti tofauti ili kuepuka gharama za ziada ambazo zinapunguza faida. Mfano unaweza ukaamua kila wiki unauza kuku 100 au 200 au 300, so unakua unaingiza vifaranga 100 au 200 au 300 kila wiki wanaenda kwa mfululizo huo na idadi itaongezeka kila uhitaji wa soko utakavyoongezeka.

TATU
Chakula bora ni gharama sana hivyo unatakiwa kuanzisha mpango wa kutengeneza chakula mbadala kama vile hydroponic, azola na funza.

NNE
Ili kufikia malengo kwa wakati na kwa gharama nafuu fanya yafuatayo;

*Andaa kuku wazazi kwa ajili ya kutaga mayai ya kutotolesha kutokana na malengo yako ya mwezi. Kwa mfano unahitaji vifaranga 400 inahitaji kuku wazazi 100 tu.
Kuku hao watakua na uwezo wa kutaga sio chini ya tray 2(mayai 60)(za mayai yanayofaa kutotolesha) kwa siku na kwa siku 10 itakua una mayai 600. Kati ya mayai 600 huwezi kukosa kuku 400 kuanzia vifaranga mpaka kufikia kuku anaefaa kuuzwa. Hapa ni kwa malengo ya kuuza kuku 100 kila wiki, kwahiyo kwa mwezi kuku 400

Kumbuka idadi hii nnayokupa ni idadi ya chini kabisa ambayo hata zikitokea changamoto ni ngumu sana kushuka chini ya idadi hiyo.
Mfano kuku wazazi 100 wanaweza kuzalisha mpaka mayai 75 kwa siku, na mayai 600 yanaweza kutototewa mpaka vifaranga 500.

Hapo ukiangalia maelezo vizuri utagundua mayai ya kila mwezi wa kutotolesha yanapatikana ndani ya siku 10 tu, hizo siku zilizobaki utauza mayai ili kuendelea kupata hela ya kuhudumia kuku wazazi.

Biashara ikiwa nzuri utaongeza idadi ya kuku wazazi na mpango utakua kama hapo nilivyo eleza.

MWISHO
Kumbuka biashara ni hatua, so huwezi kuingia sokoni na kuku 1000, lazima uanze kuuza kidogo mpaka soko likutambue na upate wateja wa kutosha ili uuze mpaka zaidi ya odadi hiyo.
 
Asantee mkuu kwa comment yako very positive.
 
.
 
Soko la kuku hao chotara na mayai kwa Tanga ungetafuta Unguja na Pemba. Siku ambazo meli za mizigo zinaondoka kwenda Unguja na Pemba uwe unatoa kuku na mayai kwa kila week.

Hiyo target ya kufikisha kuku 5000 ni nzuri, kuwa na soko la uhakika na mzunguko wa kila week ni bora zaidi kuliko kulimbikiza kuku wengi kama wafugaji ng'ombe wazamani
 
kwenye afutano tuna wangapi mpka sasa zile afu 70 70 bado unaendelea kuwapa madogo
Bado Niko mbalina kuku elfu 5 kwa sasa na kuku 1100 wa mayai. Chotara soko lake nichangamoto.

Kwa sasa namtu mmoja anaewaangalia namlipa elfu 50 Kila week.

Pia naendelea na ujenzi wa Banda lingine kubwa la kuku elfu Moja.

Asante.
 
Mchanganuo mzuri kuku anafaida sana ila anaunnecessary cost ili kuzuia hasara so tupaswa kuwa making ilinkupata tija inayositahili
 
Kwa sasa tuna idadi ipi kiongozi. Watu walikatisha tamaa balaa kwelikweli
 
Kuwalisha chotara nigharama halafu pia wateja wanasumbua sana, nilihamia kwenye kuku wa mayai, nao elfu 1 lkn January naingiza pia batch nyingine ya 1000. Mayai yanauzika bila shida.
Soko la mayai likoje huko uliko
 
Back
Top Bottom