Naomba ushauri wowote kuhusu safari yangu ya muziki, sikutegemea itakua ngumu kiasi hiki

Hiyo pesa kwann usingeanzisha tu biashara ukishapata pesa ndo uingie kwenye music

Ushindani uliopo soko la music kwa sasa ni mkubwa mno
Ni kweli dada angu lakini huwezi subiri eti biashara ikue ndo uingie Kwa mziki tech ina badili dunia so fast AI music Iko moto, hi I kinacho wezekana Leo kisingoje kesho
 
Una nyimbo ngapi hadi sasa ambazo umesharecord
Bado nili plan nianze na tatu kwanza, Moja nitoe video zingine zibaki audio sasa nikiwa kwenye hizo harakati ndo nika kumbuka promo mkuu, muhimu sana kaka tena Kwa mziki huu mashabiki wamechagua maisha nje ya burudani
 
Huwezi kufanya promo una wimbo mmoja. At least uwe na vibao 5+

Pia, Promo haitengenezi fan base, acha vibao vilete organic fans achana na wa Promo.
 
Bro mziki hatuendi hivo dunia ya Leo promo muhimu, don jazzy kama msanii wa rema alisema calm down akitumia zaidi ya bilioni Moja kuusukuma mziki yani promo bro unazani mchezo? Tanzania watu wanataka jina sio kazi? Mfano msanii wa doto magari watu WANAINGIA kwenye show hawajui nyimbo yake hata moja
 
Sawa kila lakheri.
 
Uko sahihi.
Promo itaboost kwa muda mfupi sana kisha watu wanakuchoka haraka masikioni na kukutema
Sawa lakini bado haizui nguvu ya promo mfano dogo rema msanii wa doto magari inazijua nyimbo zake? Hakuna ila ye anafahamika sasa wewe uwe na nyimbo kumi na huyo dogo msimame pamoja unazani star nani
 
Huyo dogo kashapotea tayari watu walimjua kwa sababu ya influence ya Doto sasa hivi Doto amekaa pembeni watu washamsahau.
Promo inatakiwa ije mwishoni kuboost sio mwanzoni
 
Back
Top Bottom