Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Unazingua ujue ohoooo🤣Kila la kheri mkuu ila kwenye hio industry nakushauri linda sana mgongo
Unazingua ujue ohoooo🤣Kila la kheri mkuu ila kwenye hio industry nakushauri linda sana mgongo
Ni kweli dada angu lakini huwezi subiri eti biashara ikue ndo uingie Kwa mziki tech ina badili dunia so fast AI music Iko moto, hi I kinacho wezekana Leo kisingoje keshoHiyo pesa kwann usingeanzisha tu biashara ukishapata pesa ndo uingie kwenye music
Ushindani uliopo soko la music kwa sasa ni mkubwa mno
Kaka utaenda you tube huko ndo kusapotiana mkuuWeka kionjo
safi sana kaka ushauri mzuri sana huu kakaMi sijui game, ila ukiwa na nyimbo 5 ukaziweka YouTube, na ukatumia vizuri Insta FB TikTok inatosha kuliko kuwalipa hao Influencers.
Una nyimbo ngapi hadi sasa ambazo umesharecordsafi sana kaka ushauri mzuri sana huu kaka
Bado nili plan nianze na tatu kwanza, Moja nitoe video zingine zibaki audio sasa nikiwa kwenye hizo harakati ndo nika kumbuka promo mkuu, muhimu sana kaka tena Kwa mziki huu mashabiki wamechagua maisha nje ya burudaniUna nyimbo ngapi hadi sasa ambazo umesharecord
Huwezi kufanya promo una wimbo mmoja. At least uwe na vibao 5+Bado nili plan nianze na tatu kwanza, Moja nitoe video zingine zibaki audio sasa nikiwa kwenye hizo harakati ndo nika kumbuka promo mkuu, muhimu sana kaka tena Kwa mziki huu mashabiki wamechagua maisha nje ya burudani
Watch your back.Kila la kheri mkuu ila kwenye hio industry nakushauri linda sana mgongo
Uko sahihi.Huwezi kufanya promo una wimbo mmoja. At least uwe na vibao 5+
Pia, Promo haitengenezi fan base, acha vibao vilete organic fans achana na wa Promo.
story za chinichini kua wengi wametoka kwa kugawa migongo so ukataka support zao lakini wakulipizie kwanza, no free lunchUnazingua ujue ohoooo🤣
Bro mziki hatuendi hivo dunia ya Leo promo muhimu, don jazzy kama msanii wa rema alisema calm down akitumia zaidi ya bilioni Moja kuusukuma mziki yani promo bro unazani mchezo? Tanzania watu wanataka jina sio kazi? Mfano msanii wa doto magari watu WANAINGIA kwenye show hawajui nyimbo yake hata mojaHuwezi kufanya promo una wimbo mmoja. At least uwe na vibao 5+
Pia, Promo haitengenezi fan base, acha vibao vilete organic fans achana na wa Promo.
Sawa kila lakheri.Bro mziki hatuendi hivo dunia ya Leo promo muhimu, don jazzy kama msanii wa rema alisema calm down akitumia zaidi ya bilioni Moja kuusukuma mziki yani promo bro unazani mchezo? Tanzania watu wanataka jina sio kazi? Mfano msanii wa doto magari watu WANAINGIA kwenye show hawajui nyimbo yake hata moja
Sawa lakini bado haizui nguvu ya promo mfano dogo rema msanii wa doto magari inazijua nyimbo zake? Hakuna ila ye anafahamika sasa wewe uwe na nyimbo kumi na huyo dogo msimame pamoja unazani star naniUko sahihi.
Promo itaboost kwa muda mfupi sana kisha watu wanakuchoka haraka masikioni na kukutema
Ngumu kwangu mana najisimamia mwenyewe na label yangu, nilio ianzishastory za chinichini kua wengi wametoka kwa kugawa migongo so ukataka support zao lakini wakulipizie kwanza, no free lunch
AmapianoUnaimba mtindo gani kwani!
Huyo dogo kashapotea tayari watu walimjua kwa sababu ya influence ya Doto sasa hivi Doto amekaa pembeni watu washamsahau.Sawa lakini bado haizui nguvu ya promo mfano dogo rema msanii wa doto magari inazijua nyimbo zake? Hakuna ila ye anafahamika sasa wewe uwe na nyimbo kumi na huyo dogo msimame pamoja unazani star nani
Fact mkuu, uko sawaHuyo dogo kashapotea tayari watu walimjua kwa sababu ya influence ya Doto sasa hivi Doto amekaa pembeni watu washamsahau.
Promo inatakiwa ije mwishoni kuboost sio mwanzoni