Hongera kiongozi. Usije ukakubali kubadili transmission fluid bila kuzingatia hiyo gari inataka uweke fluid ya aina gani.
Mabagala we acha tu. Mafundi wengine ni balaa. Ila nimejifunza kuhoji kila kitu siku hizi, sio mafundi wala hospitali. Lazima nihoji kwa upole lakini. HahahaHii ndo imeua gearbox ya honda stream yangu. Kutokujua kwakweli na kuwa na fundi makini
Eti kwa upole lakiniMabagala we acha tu. Mafundi wengine ni balaa. Ila nimejifunza kuhoji kila kitu siku hizi, sio mafundi wala hospitali. Lazima nihoji kwa upole lakini. Hahaha
Adharusi, ukihoji kibabe itakula kwako. Unaweza hata kuwekewa chumvi kwenye sehemu ya oil na ndiyo mwisho wa gari lako.Eti kwa upole lakini
Ahsante nimejifunza kituAdharusi, ukihoji kibabe itakula kwako. Unaweza hata kuwekewa chumvi kwenye sehemu ya oil na ndiyo mwisho wa gari lako.
Inatakiwa uhoji kijinga kijinga kama fala, lakini akuelewe.
hapana hata prado enyew zinatofautiana kodi zile za kwanza ni milion kumi kodi ...hizi mpya generation ya nne kodi yake tu ni 33MPort charges ni constant kwa magari yote au zinatofautiana? Assume naagiza Prado, je nitatozwa sawa na Toyota brevis?
Embu tupia hiyo calculator ya Tra tuione mkuu..Jamani ini most cases gharama za tra zinaonekana kwenye calculator yao huwa ni hizo hizo kubadilika ni kama ulikosea kuingiza data ama kupanda na kushuka kwa dola different ni ndogo.
Mimi mafundi waliniulia gearbox ya corolla touring wagon, we acha tu.Hii ndo imeua gearbox ya honda stream yangu. Kutokujua kwakweli na kuwa na fundi makini
Mimi mafundi waliniulia gearbox ya corolla touring wagon, we acha tu.
Huyu mtu hayupo Kibondo kweli. Nilienda kule nikakuta hiyo, nikamuonea huruma sana jamaa mwenye gari kama hilo.Kuna mtu alinunua honda Crv no.DDB kwa 4.2mil na ilikua nzuri sana.
Muda wa service ulipofika ndipo alijua kwanini aliuziwa Honda kwa pesa hio,Spares hakuna mpk kuagiza jijini sa hivi jamaa ni full kujuta.
So nadhani Honda ni nzuri kwa watu wa Dar/Mwz/Arusha lkn walioko huko mikoani/maporini kazi wanayo.
Hahah jamaa yuko kule panaitwa KALIUA,TABORA.Huyu mtu hayupo Kibondo kweli. Nilienda kule nikakuta hiyo, nikamuonea huruma sana jamaa mwenye gari kama hilo.
Hongera sana ni gari nzuri utaifurahia ..badilisha sensor za oxygen ...24km/l inatumia vtech ambayo inaadvantage zaid ya vvti...badilisha transimition fluid original maana hapa ndipo watu hulia sana.Mm nimeshainunua tayari ninayo, niliagiza toka Japan imefika, nichek pm nikupe maelekezo zaidi
Mkuu nahitaji kujua zaidi hapa... Sensor n nn? Transmission fluid niweke aina gani?Hongera sana ni gari nzuri utaifurahia ..badilisha sensor za oxygen ...24km/l inatumia vtech ambayo inaadvantage zaid ya vvti...badilisha transimition fluid original maana hapa ndipo watu hulia sana.