Mabagala
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,477
- 326
Hongera kiongozi. Usije ukakubali kubadili transmission fluid bila kuzingatia hiyo gari inataka uweke fluid ya aina gani.
Hii ndo imeua gearbox ya honda stream yangu. Kutokujua kwakweli na kuwa na fundi makini