Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Port charges ni constant kwa magari yote au zinatofautiana? Assume naagiza Prado, je nitatozwa sawa na Toyota brevis?
hapana hata prado enyew zinatofautiana kodi zile za kwanza ni milion kumi kodi ...hizi mpya generation ya nne kodi yake tu ni 33M
 
Ulienda Garage gani mkuu na mimi nataka nipeleke kagari kangu?
Kuna Garage ipo huku mwenge kwa kakobe, nyuma ya nyumba za NHC.
Naona jamaa n mwamimifu na ameenda shule.
Sio wale fundi njaa, hawaachi hela hata kama gari halina tatizo
 
Jamani ini most cases gharama za tra zinaonekana kwenye calculator yao huwa ni hizo hizo kubadilika ni kama ulikosea kuingiza data ama kupanda na kushuka kwa dola different ni ndogo.
 
Jamani ini most cases gharama za tra zinaonekana kwenye calculator yao huwa ni hizo hizo kubadilika ni kama ulikosea kuingiza data ama kupanda na kushuka kwa dola different ni ndogo.
Embu tupia hiyo calculator ya Tra tuione mkuu..
 
Alikuelezea athari za kuweka matairi ya size tofauti na inayotakiwa kwenye gari?
 
Honda wako vizuri moja kati ya kampuni zinazozalisha engine bora kabisa.
 
Kuna mtu alinunua honda Crv no.DDB kwa 4.2mil na ilikua nzuri sana.

Muda wa service ulipofika ndipo alijua kwanini aliuziwa Honda kwa pesa hio,Spares hakuna mpk kuagiza jijini sa hivi jamaa ni full kujuta.

So nadhani Honda ni nzuri kwa watu wa Dar/Mwz/Arusha lkn walioko huko mikoani/maporini kazi wanayo.
 
Huyu mtu hayupo Kibondo kweli. Nilienda kule nikakuta hiyo, nikamuonea huruma sana jamaa mwenye gari kama hilo.
 
Huyu mtu hayupo Kibondo kweli. Nilienda kule nikakuta hiyo, nikamuonea huruma sana jamaa mwenye gari kama hilo.
Hahah jamaa yuko kule panaitwa KALIUA,TABORA.

Sasa jiulize kutoka Kaliua jiji lake la karibu ni wapi,hahah.Majanga
 
Mm nimeshainunua tayari ninayo, niliagiza toka Japan imefika, nichek pm nikupe maelekezo zaidi
Hongera sana ni gari nzuri utaifurahia ..badilisha sensor za oxygen ...24km/l inatumia vtech ambayo inaadvantage zaid ya vvti...badilisha transimition fluid original maana hapa ndipo watu hulia sana.
 
Hongera sana ni gari nzuri utaifurahia ..badilisha sensor za oxygen ...24km/l inatumia vtech ambayo inaadvantage zaid ya vvti...badilisha transimition fluid original maana hapa ndipo watu hulia sana.
Mkuu nahitaji kujua zaidi hapa... Sensor n nn? Transmission fluid niweke aina gani?
 
Back
Top Bottom