MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Ndio hivyo mkuu kodi zao ji nyingi sanaKumbe ni TRA wanachukua hela nyingi kuliko Bei uliyonunulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo mkuu kodi zao ji nyingi sanaKumbe ni TRA wanachukua hela nyingi kuliko Bei uliyonunulia
Tupe mrejesho kama mkoko umeishafika Dar na uaminifu wa SBT piaWakuu nimerudi tena baada ya kimya kirefu....
Nimeagiza honda Fit ya mwaka 2004 kupitua SBT Japan sasa n wiki ya pili.... Kila kitu kinaenda sawa
Naomba kuuliza wazoefu wq clearing and forwarding, kama kuna mtu anafanya hii kitu au anamjua anaeweza kunifanyia kwa bei nafuu.
Nimesikia wale wa SBT wana bei kubwa sana, na vyuma vimekaza sana.
Ukisha penda gari unafanya negotiation mfano kama hiyo ya 1,900 inaweza kushuka hadi 1,600...Mkuu nipe maujanjaujanja, mbona mie kila nikipita Beforward na SBT Japan naona gharama kwa honda inakita 1900 USD (Plus CIF Inspection) ?
Best Value Used HONDA cars for Sale | BE FORWARD
Kama bado unahitaji, check with Me asap!Mkuu nipe maujanjaujanja, mbona mie kila nikipita Beforward na SBT Japan naona gharama kwa honda inakita 1900 USD (Plus CIF Inspection) ?
Best Value Used HONDA cars for Sale | BE FORWARD
Check SBT utapataMkuu nahitaji IST nzuri ya kuanzia mwaka 2005 nakuendelea km sio zaidi ya 80,000...
Bajeti yangu n 10 mil vipi ntapata?
Details zake zikoje mkuu
Sasa hapo mzee ukienda kwa dicksound ukabadili hizo rim itapendeza zaidi