Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

Port Charges mbona kama umelipia hela nyingi kwa gari ndogo ni kwamba wamepandisha au?
 
Ndivto tax calculator ya TRA ilivyo. Unaweza kuagiza gari toka nje ikafika bandarini kwa dola 2000. Utakadiriwa ushuru wa dola 2900 ama 3500 kabisa. Ndio hapo ninapochoka na TRA!
Kwa nijuavyo mimi wengi huwatokea hii endapo tuseme CIF ya gari ulonunua ni $2000 na CIF ya kwenye calculator ya TRA ni $1800 hapo ndio watakukadilia ushuru tofauti na ule utakaosoma kwenye calculator yao kwa kuwa CIF ya kununulia gari ni kubwa kuliko kwenye calculator.

Yani kwa kifupi ukitaka usipate tabu za kukadiliwa ushuru inabidi unapoagiza gari CIF ya gari utakayonunua isiizidi CIF ya kwenye calculator ya TRA.
 
Port Charges mbona kama umelipia hela nyingi kwa gari ndogo ni kwamba wamepandisha au?
Sijajua, labda zimepanda...
Ila nililipia bank acount ya TPA, ko naamini sijapigwa na agent
 
Eminentia,
Yeah, alinipa hiyo side effect ya kuongezeka kwa fuel consuption, ila aliniambia inaongezeka kwa margin ndogo sana
 
Mkuu agent fee ni kama hela ya dalali, maana wewe unakua umekaa home yeye ndo anatembea na makarasi TRA na bandarini....
Ni bargaining power yako, kuna wengine wanafanyia laki tano wengine laki moja.
It depends.

Ukiagiza gari, ukishalipia kila kitu, wewe unaendelea na kazi zako, unakuja kuotiwa kuchukua gari, kila kitu kipo tayari hadi plate number
Asante kwa jibu kaka!
 
Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa

Hawakupigi wanakuletea risiti za malipo yote waliyoyafanya kwa taasisi husika na una verify mwenyewe
 
Sijajua, labda zimepanda...
Ila nililipia bank acount ya TPA, ko naamini sijapigwa na agent
Zamani kabla ya Magufuli, mtu alikuwa analipia bank kabisa na unapewa risiti na muhuri wa bank, japo hiyo hela haingii kwenye account husika.

Nadhani huo mchezo ulishakufa.
 
Apa ndo sijui chochote, maana ndo kagari kangu ka kwanza.
Ebu nielezee vizuri kuhusu hizo transmission fluid... Nitajuaje gari langu linatumia ipi?
Lazima watakuwa wameandika aina ya transmission oil kwenye kichwa cha dipstick.
 
Sijajua, labda zimepanda...
Ila nililipia bank acount ya TPA, ko naamini sijapigwa na agent
Yaah hapo kupigwa ngumu kama ulilipa direct bank me mara ya mwisho nakumbuka nililipia laki nne na kitu hivi itakuwa imepanda au walianza kukukata storage mkuu??
 
Port charges ni constant kwa magari yote au zinatofautiana? Assume naagiza Prado, je nitatozwa sawa na Toyota brevis?
 
Mkuu agent fee ni kama hela ya dalali, maana wewe unakua umekaa home yeye ndo anatembea na makarasi TRA na bandarini....
Ni bargaining power yako, kuna wengine wanafanyia laki tano wengine laki moja.
It depends.

Ukiagiza gari, ukishalipia kila kitu, wewe unaendelea na kazi zako, unakuja kuotiwa kuchukua gari, kila kitu kipo tayari hadi plate number
Mkubwa hongera kwa hatua na asante kwa mrejesho.

Ushauri: hapo fundi alipokuambia ubadili taili gari inyanyuke please, kuwa makini utazalisha matatizo mengine na kupoteza muonekano mzuri wa gari lako!

Umelipenda lilivyo, enjoy it!!!!
 
Naomba unisaidie hiyo agent fee unailipaje, na je ina makubaliano au just thanks giving?
Agency fee unailipa kampuni ya hapa Bongo au mtu anayeprocess gari uliloagiza mpaka analitowa bandarini na kukukabidhi gari lako.
 
Back
Top Bottom