Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nijuavyo mimi wengi huwatokea hii endapo tuseme CIF ya gari ulonunua ni $2000 na CIF ya kwenye calculator ya TRA ni $1800 hapo ndio watakukadilia ushuru tofauti na ule utakaosoma kwenye calculator yao kwa kuwa CIF ya kununulia gari ni kubwa kuliko kwenye calculator.Ndivto tax calculator ya TRA ilivyo. Unaweza kuagiza gari toka nje ikafika bandarini kwa dola 2000. Utakadiriwa ushuru wa dola 2900 ama 3500 kabisa. Ndio hapo ninapochoka na TRA!
Apa ndo sijui chochote, maana ndo kagari kangu ka kwanza.Hongera kiongozi. Usije ukakubali kubadili transmission fluid bila kuzingatia hiyo gari inataka uweke fluid ya aina gani.
Unaweza kunisaidia mchanganuo wa port charges please?Hizo ni port charges za TPA. Sio gharama za kodi
Asante kwa jibu kaka!Mkuu agent fee ni kama hela ya dalali, maana wewe unakua umekaa home yeye ndo anatembea na makarasi TRA na bandarini....
Ni bargaining power yako, kuna wengine wanafanyia laki tano wengine laki moja.
It depends.
Ukiagiza gari, ukishalipia kila kitu, wewe unaendelea na kazi zako, unakuja kuotiwa kuchukua gari, kila kitu kipo tayari hadi plate number
Aaahaaaa usijali na jina ntampaNitakuita uje kulea, akizaliwa
Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa
Zamani kabla ya Magufuli, mtu alikuwa analipia bank kabisa na unapewa risiti na muhuri wa bank, japo hiyo hela haingii kwenye account husika.Sijajua, labda zimepanda...
Ila nililipia bank acount ya TPA, ko naamini sijapigwa na agent
Lazima watakuwa wameandika aina ya transmission oil kwenye kichwa cha dipstick.Apa ndo sijui chochote, maana ndo kagari kangu ka kwanza.
Ebu nielezee vizuri kuhusu hizo transmission fluid... Nitajuaje gari langu linatumia ipi?
thanksSijajua kaka, mm nilinunua tu. Labda uni pm nikupe namba ya Agent wa SBT atakusaidia, hana tabu
Yaah hapo kupigwa ngumu kama ulilipa direct bank me mara ya mwisho nakumbuka nililipia laki nne na kitu hivi itakuwa imepanda au walianza kukukata storage mkuu??Sijajua, labda zimepanda...
Ila nililipia bank acount ya TPA, ko naamini sijapigwa na agent
Mkubwa hongera kwa hatua na asante kwa mrejesho.Mkuu agent fee ni kama hela ya dalali, maana wewe unakua umekaa home yeye ndo anatembea na makarasi TRA na bandarini....
Ni bargaining power yako, kuna wengine wanafanyia laki tano wengine laki moja.
It depends.
Ukiagiza gari, ukishalipia kila kitu, wewe unaendelea na kazi zako, unakuja kuotiwa kuchukua gari, kila kitu kipo tayari hadi plate number
Fungua hiyo link mkuu kujua gharama za Aina yyte ya gari ku importMkuu, sijajua kwa magari mengine, ila gari langu nimelitoa kwa gharama hiyo (achloa mbali kodi za TRA)
AGENT ALINIPIGIA HESABU HIYO.
Agency fee unailipa kampuni ya hapa Bongo au mtu anayeprocess gari uliloagiza mpaka analitowa bandarini na kukukabidhi gari lako.Naomba unisaidie hiyo agent fee unailipaje, na je ina makubaliano au just thanks giving?