Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Kwema ndugu zangu?

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.

Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?

Wanaolewa kweli hawa wadada?
 
kwema ndugu zangu

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank, hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sanaa nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa
mdada wa bank wanaishije huko makwao?..wanaolewa kweli hawa wadada?

Wengi ni warembo na wana vipato, hili huwafanya wawe na ILLNESSES OF HEARTS - wana viburi na wanajiona sana, mara nyingi huishia kutumiwa na mabosi na kuwa SINGLE MOTHERS

NB: Wapo pia ambao ni wastaarabu na hawana makuu, nasaha: CHOOSE WISELY
 
kwema ndugu zangu

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank, hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sanaa nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa
mdada wa bank wanaishije huko makwao?..wanaolewa kweli hawa wadada?
Nilisha mdate mmoja, alikuwa na Akili sana.
Shida ni Customer Care dadeki...utaomba Pooh
 
Huwa wanakulana wao kwa wao...

Jiandae kisaikolojia.
 
Ukitaka kumla bata katuu usmchunguze, ndvyo wasemavyo wahenga.....
 
Saivi mtu hana kaz ila anaringa,sasa unajiuliza anaringia nn...nadhani wanaringia pumzi mkuu...hujampata wa kufanana nae tatizo si kaz aliyonayo tatizo MTU mwenyewe na tabia yake
Duuu balaa sn
 
Back
Top Bottom