Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

  • Salary Itategemea na Bank international banks zilizopo hapa Tanzania zinalipa mshahara mkubwa kuliko local banks Kama Nmb,crdb
  • Usilinganishe afisa mifugo na bankers, afisa mifugo anasoma miaka mitano bankers degree zao ni three years hence mathematically banker ndiyo mwenye salary kubwa Kwa kigezo cha duration, ukikuta banker aliyesomea 4 years means ni CPA au ni masters degree holder, na hapo salary yake itakuwa above 1.3M labda 1.8au 2M
-kazi ya afisa mifugo Haina swagger [emoji1787] tongoza demi Mwambie we ni afisa mifugo halafu mwenzio amwambie Yuko NMB utaona response.
Ngoja nikukosoe kidogo

Ni kweli banker Ana swaga na malipo yao ni mazuri

Ila huwezi sema anamshinda malipo huyu BVM aliyekaa darasani miaka mitano sio kweli halafu wa miaka mitano sio afisa mifugo ni daktari mifugo

Labda unasemea hawa afisa mifugo wa miaka mitatu hawa ni Bsc animal science Hapo sawa
 
-Daktari wa mifugo hazidi 1.4M na amekaa darasani 5 yrs usidhani wanapata Hela nyingi
  • kukaa darasani Sio sababu ya msingi sababu ya Msingi ni unafanya Kazi wapi? Mtu mwenye diploma ya 2 yrs ajiyeajiriwa e-GA analipwa mshahara mkubwa Sana kuliko MD,BVM
  • Hakuna cha maana Sana huko kwenye BVM utaishia halmashauri tu
 
Wengi ni warembo na wana vipato, hili huwafanya wawe na ILLNESSES OF HEARTS - wana viburi na wanajiona sana, mara nyingi huishia kutumiwa na mabosi na kuwa SINGLE MOTHERS

NB: Wapo pia ambao ni wastaarabu na hawana makuu, nasaha: CHOOSE WISELY
sure nawafahamu kama wawili wako CRDB wote ni singo maza weekend tunakutana nao kitambaa wanakula bata
 
-Daktari wa mifugo hazidi 1.4M na amekaa darasani 5 yrs usidhani wanapata Hela nyingi
  • kukaa darasani Sio sababu ya msingi sababu ya Msingi ni unafanya Kazi wapi? Mtu mwenye diploma ya 2 yrs ajiyeajiriwa e-GA analipwa mshahara mkubwa Sana kuliko MD,BVM
  • Hakuna cha maana Sana huko kwenye BVM utaishia halmashauri tu
Hapo zamani walikuwa wanakula 1.492,508 sasa sijui sahivi sasa na mshara lazima uongezeke kutokana na mda kazini

Halafu hapa tunaongelea banker na Veternary huyo mwengine ametoka wapi ? Mbona unajichanganya
 
Kwa viwango vya mishahara Serikalini, mtumishi anayeanza na kulipwa 1.2 - 1.4 M ni kiwango kikubwa, huwezi linganisha na kundi kubwa ambalo wengi wetu huwa tunaanza kwa kuangukia humu 600K - 1000K

Unafanya kazi wapi? Hii hoja ni mashuhuri na ni ya kipekee ''exceptional', ukitaka kufananisha mishahara kwa usawa 'impartiality' unatakiwa uwaweke wote hao kwenye taasisi moja kwa madaraja yao ya kielimu na muda waliotumikia kuhitimu masomo yao", hapo ndo utaona gap la mshahara kati yao

Sheria namba ngapi ya mwaka gani hiyo inayotoa ulazima wa wahitimu wa BVM kuishia Local Government? Wanaajirika kama watu wa fani nyingine zote kwenye Taasisi mbalimbali za Serikali, si lazima Local Government
 
Kuna mmoja nimenyaka nywira yake ngoja nimupimie, endeleeni kumwaga maujanja ya kurahisisha kazi
 
Hapo zamani walikuwa wanakula 1.492,508 sasa sijui sahivi sasa na mshara lazima uongezeke kutokana na mda kazini

Halafu hapa tunaongelea banker na Veternary huyo mwengine ametoka wapi ? Mbona unajichanganya
- tunachojadili ni Degree ya 3 yrs vs degree ya 5 yrs,
-sio hapo zamani ilikuwa 1.4M hiyo ni Hadi Sasa hivi
 
Kwa viwango vya mishahara Serikalini, mtumishi anayeanza na kulipwa 1.2 - 1.4 M ni kiwango kikubwa, huwezi linganisha na kundi kubwa ambalo wengi wetu huwa tunaanza kwa kuangukia humu 600K - 1000K

Unafanya kazi wapi? Hii hoja ni mashuhuri na ni ya kipekee ''exceptional', ukitaka kufananisha mishahara kwa usawa 'impartiality' unatakiwa uwaweke wote hao kwenye taasisi moja kwa madaraja yao ya kielimu na muda waliotumikia kuhitimu masomo yao", hapo ndo utaona gap la mshahara kati yao

Sheria namba ngapi ya mwaka gani hiyo inayotoa ulazima wa wahitimu wa BVM kuishia Local Government? Wanaajirika kama watu wa fani nyingine zote kwenye Taasisi mbalimbali za Serikali, si lazima Local Government
-hatuwezi kuwaweka wote Kwenye taasisi moja kwa sababu kiini cha hii mada kilikuwa ni bankers vs others employees
-Issue Sio SHERIA number ngapi issue ni kwamba BVM,MD ni huduma za jamii ambao mostly wanaenda Local gvt,
- ni kweli wanaajirika Kama Watu wa fani nyingine zote kwenye taasisi mbalimbali za serikali, issue inakuja ni vitengo gani serikali vyenye Salaries nzuri vinavyoajiri BVM? Kwa bankers Wana vitengo vingi eg TRA,EWURA,BoT,e-Ga, LATRA, TANROADS, vitengo vichache Sana serikalini vyenye Salaries kubwa vinaajiri BVM
 
Kwema ndugu zangu?

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.

Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?

Wanaolewa kweli hawa wadada?
Kwenye ukoo wetu wengi wamebahatika kufanya kazi benki, wanawake ndo waleta maendeleo nyumbani, so utakuwa na uhakika wa kuwa na maisha mazuri we na wanao. Kingine nimegundua mwanaume ukishamzoesha kuwa wewe ndo unalipia kila kitu yani ndo umemmaliza, hatokuja kuwa na maendeleo yake, atakutegemea milele. Shida hasa ni kuzidiwa na kipato na mwanamke na sio kufanya kazi benki
 
Kwani maendeleo yanakuwa ya mwanaume peke yake? au Maendeleo ni kwaajiri ya familia Mke na watoto . Maana ulivyosema Mwanaume hataweza kufanya maendeleo yake sijakuelewa Una maanisha maendeleo ya aina gani kwenye familia ambayo yanakuwa ya Mwanaume tu na Mke na watoto hawa husiki nayo?
 
Zingatia sana huu ushauri mkuu utanishukuru kuna mmoja bank X [pisi mnooo} ipo pale kariakoo nilienda kulipia kitu online tena nje ya nchi (urusi} aiseee nilipewa zaidi ya customer care sitasahau na namba aliomba yeye na alisumbua sana Yani badae nikaona isiwe tabu nikampa anachotaka
Ulituma shs ngap???
 
-hatuwezi kuwaweka wote Kwenye taasisi moja kwa sababu kiini cha hii mada kilikuwa ni bankers vs others employees
-Issue Sio SHERIA number ngapi issue ni kwamba BVM,MD ni huduma za jamii ambao mostly wanaenda Local gvt,
- ni kweli wanaajirika Kama Watu wa fani nyingine zote kwenye taasisi mbalimbali za serikali, issue inakuja ni vitengo gani serikali vyenye Salaries nzuri vinavyoajiri BVM? Kwa bankers Wana vitengo vingi eg TRA,EWURA,BoT,e-Ga, LATRA, TANROADS, vitengo vichache Sana serikalini vyenye Salaries kubwa vinaajiri BVM
Aiiiiiight
 
Back
Top Bottom