Hii ni bakaa ya mshahara wa watumishi wengi tu wa Serikali kwenye baadhi ya Taasisi baada ya makato, hicho kiwango si cha kubeza350,000 hao watakuwa interns
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni bakaa ya mshahara wa watumishi wengi tu wa Serikali kwenye baadhi ya Taasisi baada ya makato, hicho kiwango si cha kubeza350,000 hao watakuwa interns
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana na hao wa bank...
Wengine tulizioa bank zeneyewe...[emoji12][emoji12]
Kumbe ndio zao ngoja tuzisake kwanza.Kiasili mwanamke ni kiumbe aliyezaliwa na tamaa nimewahi fanya kazi bank for almost 10 years kabla sijaacha na kujikita kwenye shughuli zangu wadada wengi waliopo bank tamaa zinawaponza plus kucount pesa nyingi za wateja ukilinganisha na mishahara kiduchu waliyonayo akija tajiri yyt akawapa vitip mara vilaki mara laki mbili ni rahisi kudate nao
Mimi nilijua milioni 2 hivi au tatu[emoji2]Inategemea na bank, kwa navyofahamu bank nyingi huangukia TZS. 350,000 - 700,000
WanalipwajeHakuna bank teller wa bank yoyote nchini anayelipwa mshahara huo
Ukilipwa 1.3m kabla ya makato utaangukia kwenye laki lakiKuna jamaa tulisoma nae Yuko benki fulani analipwa 1.3M kabla ya makato, msidharau benki msidhani benki ni Kama Halmashauri wanalipwa 700,000/-
Ukilipwa 1.3m kabla ya makato utaangukia kwenye laki laki
Upigwe income tax,worker union.,helsb,bima, labda hizo overtime zinawasukuma
Ila hawana lolote.
Mimi nilijua milioni 2 hivi au tatu[emoji2]
Kumbe laki laki tu kama afisa mifugo wa halmashauri[emoji2]
Upo chini au juu ya hapo!?Hakuna bank teller wa bank yoyote nchini anayelipwa mshahara huo
[emoji23]Mimi nilijua milioni 2 hivi au tatu[emoji2]
Kumbe laki laki tu kama afisa mifugo wa halmashauri[emoji2]
Wewe mbona unaona watumishi wa Halmashauri wanyonge [emoji23]
- Sio wote wanakatwa Heslb wengine hawakatwi
- bankers Sio wanyonge Kama Halmashauri
- mbona Mkuu unachukia bankers eti hawana lolote unaona wivu kisa wenzio wanachukua mikopo Kwa riba nafuu na kwa muda mrefu
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Ukiona bank teller anakufanyia manjonjo basi we endelea kujitahidi kuongeza wekundu kwenye akaunti yako.. Ukiwa na pesa na unaacha vitip hata foleni hutopangaHivi kwani bank teller analipwa kiasi.
Maana kuwa wana manjonjo
Ethics za bank haziruhusu wafanyakazi wao kukopa kwa watu mtaani. Ni aibu kwa mfanyakazi wa bank kukopa mtaani ndio maana kule ndani wanapeana vimikopo vingivingi kwa riba nafuu.. Kuna banks wakijua au wakishtakiwa umekopa sijui dukani au kwa mtu binafsi wanaweza kukuachisha kazi..Kuna benki moja kubwa sana hapa bongo, mishahara ni ya kawaida sana, ila mikopo walikuwa wanapewa kwa riba ya asilimia 5 tu. Kiufupi niliwahi fanya hapo kazi miaka 15 iliyopita, life lao ni la kawaida sana mkuu.
[emoji3]Na wameyapatia kweli....
Wewe endelea kucheza NDODO mzee,, hizi Ligi za wakubwa tuachie wajuzi ambao na sisi tunaona maisha tumeyapatia....
Kama wewe hujioni Maisha umeyapatia achana nao,, watakutesa.... Chuma hufua chuma
Mkuu jichunge na hawa wadada wafanyao kazi benki kwani wengi wao ni mafuska kupitiliza. Mze wangu aliwahi nikataza kutoka na watu wa benki, mapolisi, mgambo, walinzi, wanamuziki, wasanii wa sinema kwamba si wanawake wa kuwatilia maanani. Watakuja kukuua kwa pressure kutokana na matukio yao yasiyo na mwisho.Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Wanaolewa kweli hawa wadada?
duh ni nomaaMkuu jichunge na hawa wadada wafanyao kazi benki kwani wengi wao ni mafuska kupitiliza. Mze wangu aliwahi nikataza kutoka na watu wa benki, mapolisi, mgambo, walinzi, wanamuziki, wasanii wa sinema kwamba si wanawake wa kuwatilia maanani. Watakuja kukuua kwa pressure kutokana na matukio yao yasiyo na mwisho.
Kabisa Mkuu. Maisha ya watumishi wa Umma ni muujiza ulio hai.Hii ni bakaa ya mshahara wa watumishi wengi tu wa Serikali kwenye baadhi ya Taasisi baada ya makato, hicho kiwango si cha kubeza
Najiuliza hawa wanaoponda bank teller wamechoka wao Wana mishahara gani?!!Ok nmb bank teller kabla ya dec 2021 ndo walikuwa wanalipwa salary ndogo kuliko bank zingine walikuwa wanaanza na 800k after tax now wapo 1.2m crdb Wana 1.1m tpb Wana 1m tunachokiongea tuna uhakika nacho