Kwann mkuu?Angalia tu home na wanao after dakika 90 mpira kuisha utanishukuru kaka....
Kuna vitu vya ajabu,wizi,pia wat0t0 wak0 ni wad0g0 tulia nao home...Waweza wat0a h0me mkaenda somewhere tulivu ambap0 hujawahi wapeleka mkacheki mpira huko huko kwenye runinga...Acha na mamb0 ya kwa mkapa...Kwann mkuu?
Nakazia...Match za Derby kwenda uwanjani na watoto hasa huo umri ni risk sanaa, bora uende pekee yako.
Zingatia ushauri.
Kesho nikupitie saa ngapi? Nakuja na financial services ili mchekane wataniMatch za Derby kwenda uwanjani na watoto hasa huo umri ni risk sanaa, bora uende pekee yako.
Zingatia ushauri.
Mkuu kwa hiyo familia ulionayo binafsi naona uangalie kwa runinga tu mana varangati la jmosi sio dogo.Wakuu ni kwa mara ya kwanza nataka kwenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga taifa na, sijawahi kabisa kuangalia mechi hapo, so ningeomba kupata experience juu ya
1. Natoka mkoani, jinsi ya kulipia tiketi inakuwaje?
2. Nakuja na watoto, miaka 8, 6 na wa miaka miwili, je VIP itakuwa chaguo zuri?
3. Mechi ni saa moja usiku, angalau muda gani natakiwa niwe nimeshaingia ili kuepusha msongamano? (Kama upo)
4. Nasikia mechi za usiku kunakuwa na tabia za wizi sana je ni kweli?
Na ushauri gan unaweza nipa
Shukrani
Usiende kuvunja viti.Nenda Saa tatu asubuhi,paki mbali na uwanja kwenye parking za kulipia.Usiwahi kutoka uwanjani mechi ikiisha au undone kabla mechi haijaisha. Kaa jukwaa la timu unayoshabikia.Wakuu ni kwa mara ya kwanza nataka kwenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga taifa na, sijawahi kabisa kuangalia mechi hapo, so ningeomba kupata experience juu ya
1. Natoka mkoani, jinsi ya kulipia tiketi inakuwaje?
2. Nakuja na watoto, miaka 8, 6 na wa miaka miwili, je VIP itakuwa chaguo zuri?
3. Mechi ni saa moja usiku, angalau muda gani natakiwa niwe nimeshaingia ili kuepusha msongamano? (Kama upo)
4. Nasikia mechi za usiku kunakuwa na tabia za wizi sana je ni kweli?
Na ushauri gan unaweza nipa
Shukrani
mambo yakufikia kwa mtu yameshapitwa na wakatiKwa ushauri wangu, kwa kuwa ni mara YAKO ya kwanza ungependa wewe Peke yako kwanza upate uzoefu.
Pia ni vizuri ukawa na mwenyeji wa dar amabe utafikia kwake na utaenda nae uwanjani.