inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Muda wa kutoka Kuna msongamano barabarani,saa nzima hutokua umefika popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende zetu kweli mkuu, Simba tunawafunga 1-0 inawatoshaKesho nikupitie saa ngapi? Nakuja na financial services ili mchekane watani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann? Siendi mie kwa mkapa.Kesho nikupitie saa ngapi? Nakuja na financial services ili mchekane watani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifika taifa simu uishike mkononi mpaka unaingia ndani halafu kama ww ni yanga lakini una rafiki yako ni simba anakwambia mkakae jukwaa la simba na mmevaa mijezi team yako ikishinda hapo jiandae kisaikolojia maana unaweza kudundwa na mashabiki wenye hasira kali.
Sawa mrembo kesho nikupitie wapi?Twende zetu kweli mkuu, Simba tunawafunga 1-0 inawatosha
Wacha uwoga yaani unawaogopa wananchi🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann? Siendi mie kwa mkapa.
twende ila tubet Simba tukiwafunga yanga unanipaTwende zetu kweli mkuu, Simba tunawafunga 1-0 inawatosha
mchana hakuna risk sana ukikaa VIP B au AMatch za Derby kwenda uwanjani na watoto hasa huo umri ni risk sanaa, bora uende pekee yako.
Zingatia ushauri.
Nakupa nini? Mbususu ?twende ila tubet Simba tukiwafunga yanga unanipa
Hapana wee naogopa aseeeeh, nilipigwa kofi kule sitaki tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha uwoga yaani unawaogopa wananchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo sawaaaah.mchana hakuna risk sana ukikaa VIP B au A
huwa ninaenda na mwanangu
ila usiku si mshauri bora aangalie kwenye TV tu
Sasa unapigwa kofi shemeji alikuwa wapi🤔🤔🤔🤔🤔Hapana wee naogopa aseeeeh, nilipigwa kofi kule sitaki tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee name uawaza nn sijui khaaah. Nilikua single wakati huo.Sasa unapigwa kofi shemeji alikuwa wapi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Pole ndo ukubwa huoHapana wee naogopa aseeeeh, nilipigwa kofi kule sitaki tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole ndo ukubwa huo
Usiwanyime hiyo nafasi watoto. Fanya hiviShukran wakuu, nimecancel, nitawapeleka tu sehemu wakaangalie kwa tv