Kesho simba hachomokiTwende zetu kweli mkuu, Simba tunawafunga 1-0 inawatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho simba hachomokiTwende zetu kweli mkuu, Simba tunawafunga 1-0 inawatosha
Kweli kabisa, litakufa jitu(Li Simba)😂Kesho simba hachomoki
Ngoja tusubiri tuone, afu mwamba muandalie mbususu [emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa, litakufa jitu(Li Simba)[emoji23]
Yes mbususuNakupa nini? Mbususu ?
Oya mkuu nimetangulia utanikuta 😛Sawa mrembo kesho nikupitie wapi?
Nipo hapa ports line hotel njoo upate linch kwanza usije ukazimia bure simba wakifunga goli.Oya mkuu nimetangulia utanikuta 😛
😂😂 shauri yako tunawafungaNipo hapa ports line hotel njoo upate linch kwanza usije ukazimia bure simba wakifunga goli.
Hii ya leo mkuu?Oya mkuu nimetangulia utanikuta [emoji14]
ah mie wala sina upande nipo hapa kupata burudani ya mpira na kudandia loose ball ya warembo ambao timu yao itashinda....maana wanapiga monde wee unasubiria tuu wakilewa unajiokotea tuu taratibu.😂😂 shauri yako tunawafunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahOya mkuu nimetangulia utanikuta [emoji14]
Ndiyo mkuu watu wameshaingia uwanjani muda mrefuuuHii ya leo mkuu?
Somaaaa hiyoooooo mwananchi bado hujazimiaNashauri usiende na watoto uwanjani, sehemu za mikusanyiko hivo si nzuri sana hasa ukiwa na watoto.
Soma hiyo piaaa tumesomana mkuu😂😂😂Somaaaa hiyoooooo mwananchi bado hujazimia
Aziz kii hatari ..bonge la assist. Aise huyu kijana anaweza kuua watu kwenye ligiSoma hiyo piaaa tumesomana mkuu😂😂😂
Ngapi ngapi?Aziz kii hatari ..bonge la assist. Aise huyu kijana anaweza kuua watu kwenye ligi
2-1 wananchi wamechukua ngaooooo.Ngapi ngapi?