Naomba uzoefu wa kuangalia mechi ya Simba na Yanga

Naomba uzoefu wa kuangalia mechi ya Simba na Yanga

Attachments

  • 20220813_120849.jpg
    20220813_120849.jpg
    1.1 MB · Views: 6
😂😂 shauri yako tunawafunga
ah mie wala sina upande nipo hapa kupata burudani ya mpira na kudandia loose ball ya warembo ambao timu yao itashinda....maana wanapiga monde wee unasubiria tuu wakilewa unajiokotea tuu taratibu.
 
Nina wageni wangu wanaulizia viza za kuja dar naombeni ushauri.
 
Back
Top Bottom