Naomba Viongozi wa huu mtandao mnifungie account yangu kwa kipindi Cha mwaka mzima ili nifanye maombolezo.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu

Nimepata uchungu mkubwa Sana
Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!!

Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!!

Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90
Achilia mbali Maumivu makali ya kichwa yanayonikabili.

Ndugu zangu wamekufa kwa uzembe wa watu fulani.

Tuacheni siasa Katika roho za watu

see you again my homies
we shall meet again
 
Yule Jamaa aliyemzuia Shujaa Majaliwa asivunje Kioo cha mbele kwa madai kuwa Rubani walikuwa na mawasiliano naye.

Mawasiliano gani hayo? ilhali Rubani alishampa ishara ya kuwa vunja Kioo...! Kuna Viumbe ni hatari sana kwa uhai wa Binadamu.
 
Pole sana mkuu sisi wananchi hatuna tofauti na mbwa wa muindaji maana akishafanikisha windo nae thamani huishia hapo hapo
 
Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu

Nimepata uchungu mkubwa Sana
Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!!

Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!!

Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90
Achilia mbali Maumivu makali ya kichwa yanayonikabili.

Ndugu zangu wamekufa kwa uzembe wa watu fulani.

Tuacheni siasa Katika roho za watu

see you again my homies
we shall meet again
Wee vipi mbona uliondoka kabla hatujamaliza k-vant yetu! Nilikuambia usinywe kwanza mpaka tule kitimoto haukunisikia, ona sasa dishi limeyumba.
 
Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu

Nimepata uchungu mkubwa Sana
Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!!

Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!!

Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90
Achilia mbali Maumivu makali ya kichwa yanayonikabili.

Ndugu zangu wamekufa kwa uzembe wa watu fulani.

Tuacheni siasa Katika roho za watu

see you again my homies
we shall meet again
IMG-20221107-WA0139.jpg
 
Nchii hii watu wengi wanakufa kizembe Sana halafu watu wanasema tumuachie Mungu, mipango ya Mungu

Imagine Soko la Kariakoo lilivyoungua kizembe, uje kile kivuko Cha ukelewe kilivyoua watu kizembe, angalia magari yanavyoua watu kizembe.

Pamoja na hayo yote lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa yaani hatuna vifaa vya uokozi

Lakini boti za kukamata vavuvi tunazo za kutosha wavuvi wanakamatwa na kuuawa eti wakiitwa haramu?

Maasikari wa wanyama pori wanaua raia kisa tu kuingia kwenye hifadhi kuwinda swala?

Wachoma mkaa wanakutwa porini na kuuawa na kupewa kesi za jinai wakati kwenye nyumba za viongozi wanapikia mkaa!!

Angalia watu walivyoamishwa Loliondo kwa nguvu na wamasai kuuawa kikatili vile na wengine kuwekwa ukilema wa maisha..

Ila vifaa Kama siraha za moto zinanunuliwa kuua raia wema Ila hatuna boti na magari ya zomamoto

Tumewekeza kwenye kuwatesa raia wetu kuliko kutatua changamoto zao.

Wakati wao ndio walipa kodi wakuu!!!

Naapa mbele za Mwenyewe Mungu nchii hii hatutakuja kufanikiwa Kama taifa haitakuja kutolea nasema.😭😭😭
 
Ile Helkopita iliyokuwa inaonesha matokeo ya Sensa sijui kwanini hawajaipeleka ikanyanyue hata futi moja tu, tungeokoa watu
 
Yule Jamaa aliyemzuia Shujaa Majaliwa asivunje Kioo cha mbele kwa madai kuwa Rubani walikuwa na mawasiliano naye.

Mawasiliano gani hayo? ilhali Rubani alishampa ishara ya kuwa vunja Kioo...! Kuna Viumbe ni hatari sana kwa uhai wa Binadamu.
Very sad....
 
Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu

Nimepata uchungu mkubwa Sana
Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!!

Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!!

Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90
Achilia mbali Maumivu makali ya kichwa yanayonikabili.

Ndugu zangu wamekufa kwa uzembe wa watu fulani.

Tuacheni siasa Katika roho za watu

see you again my homies
we shall meet again
Yani me nasema Leo wamekufa ndugu za jirani zetu kesho uzembe kama huu utafanyika kwa sisi na ndugu zetu.
Tumuombe Mungu sana
 
Nchii hii watu wengi wanakufa kizembe Sana halafu watu wanasema tumuachie Mungu, mipango ya Mungu

Imagine Soko la Kariakoo lilivyoungua kizembe, uje kile kivuko Cha ukelewe kilivyoua watu kizembe, angalia magari yanavyoua watu kizembe.

Pamoja na hayo yote lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa yaani hatuna vifaa vya uokozi

Lakini boti za kukamata vavuvi tunazo za kutosha wavuvi wanakamatwa na kuuawa eti wakiitwa haramu?

Maasikari wa wanyama pori wanaua raia kisa tu kuingia kwenye hifadhi kuwinda swala?

Wachoma mkaa wanakutwa porini na kuuawa na kupewa kesi za jinai wakati kwenye nyumba za viongozi wanapikia mkaa!!

Angalia watu walivyoamishwa Loliondo kwa nguvu na wamasai kuuawa kikatili vile na wengine kuwekwa ukilema wa maisha..

Ila vifaa Kama siraha za moto zinanunuliwa kuua raia wema Ila hatuna boti na magari ya zomamoto

Tumewekeza kwenye kuwatesa raia wetu kuliko kutatua changamoto zao.

Wakati wao ndio walipa kodi wakuu!!!

Naapa mbele za Mwenyewe Mungu nchii hii hatutakuja kufanikiwa Kama taifa haitakuja kutolea nasema.[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu

Nimepata uchungu mkubwa Sana
Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!!

Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!!

Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90
Achilia mbali Maumivu makali ya kichwa yanayonikabili.

Ndugu zangu wamekufa kwa uzembe wa watu fulani.

Tuacheni siasa Katika roho za watu

see you again my homies
we shall meet again
moderator futeni huu uzi jamaa anaongea mashudu na marudio
 
Back
Top Bottom