mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Uzoefu mzee si unakumbuka ile lori ilipodumbukia wami jeshi ,zimamotoWe ulisikia wapi? ndege inavutwa na mtumbwi na wavuvi....... wajesh wako wanaogopa kulowa.
Walichemka kuingia chini ya maji
Ilibidi jamaa mmj diver kienyeji anaitwa Ali buheti ndy alizama chini
Ya maji na kuifunga kamba ili waitoe
Ali buheti ni mtoto wa kiwangwa pale,diver mzuri tu
Ova