Uzoefu mzee si unakumbuka ile lori ilipodumbukia wami jeshi ,zimamoto
Walichemka kuingia chini ya maji
Ilibidi jamaa mmj diver kienyeji anaitwa Ali buheti ndy alizama chini
Ya maji na kuifunga kamba ili waitoe
Ali buheti ni mtoto wa kiwangwa pale,diver mzuri tu
Ova