Naomba Viongozi wasitumie tena maneno yafuatayo kwenye hotuba zao

Naomba Viongozi wasitumie tena maneno yafuatayo kwenye hotuba zao

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi.

Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa.
1. Serikali ya Samia imekopa.
2. Rais amekopa.

Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi.

1. Nchi imekopa.
 
Watakwambia serikali ni ya wananchi walioipatia ridhaa ya uongozi Sisiemu, ambayo mwenyekiti wake wa chama ni Bi Mikopo.
 
Alafu muda wa teuzi we ndio utawateua. Hawawezi maana wote wanategemea pesa za serikali kuendesha koo zao
 
Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi.

Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa.
1. Serikali imekopa ya Samia.
2. Rais amekopa.

Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi.

1. Nchi imekopa.
Mbona kodi ya raia wavuja jasho ikitumika kujenga miradi huwa mnasema

"Rais amejenga mradi fulani" badala ya kusema kodi ya wananchi imejenga mradi?
 
Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi.

Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa.
1. Serikali imekopa ya Samia.
2. Rais amekopa.

Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi.

1. Nchi imekopa.
Kwenye kukopa wanasema "Serikali imekopa"

Kwenye kugawa hela wanadai eti "Samia ametoa hela"

Kwenye kulipa madeni wanadai "nchi italipa"

Washenzi watupu!
 
Back
Top Bottom