GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Uyo Mpanzu ambaye Simba anaonekana ni hatari pale Yanga anaweza kupata nafasi ya kucheza!!Yanga waseme ukweli wanamuogopa MPANZU
Huyo ni Technician tu siyo Engineer.hivi hersi ni injinia wa nini?,mbona kilaza hivi?
Aisee!!Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa wakiendelea kusema kuwa Yanga SC haitacheza tena na Simba SC watageuka na kumuunga mkono Rais wao Injinia Hersi Said au watamkataa na kumuona Msaliti na hata kumuanzishia Zengwe aachie Ngazi?
Nasubiria majibu yenu tafadhali.
Wa Michongo tu.hivi hersi ni injinia wa nini?,mbona kilaza hivi?
Wa kugawa bahasha..hivi hersi ni injinia wa nini?,mbona kilaza hivi?
Pasina shaka yoyote ile,injinia amekujibu majibu kuntuJe, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa wakiendelea kusema kuwa Yanga SC haitacheza tena na Simba SC watageuka na kumuunga mkono Rais wao Injinia Hersi Said au watamkataa na kumuona Msaliti na hata kumuanzishia Zengwe aachie Ngazi?
Nasubiria majibu yenu tafadhali.
Hili liko nje ya uwezo wako. Kuchukia watu waiosoma sababu ya woga wa shule haikisaidii kitu.hivi hersi ni injinia wa nini?,mbona kilaza hivi?
una uhakika amesoma?Hili liko nje ya uwezo wako. Kuchukia watu waiosoma sababu ya woga wa shule haikisaidii kitu.
Mbona hampo club bingwa?Uyo Mpanzu ambaye Simba anaonekana ni hatari pale Yanga anaweza kupata nafasi ya kucheza!!
Kama Chama anatokea Sub hivi Mpanzu atacheza nafasi ya nani?
Mchezaji mwenye mechi zaidibya 15 ana goli 2 inawezekana vipi akawa tisha Yanga?
Ao wachezaji mnao waona wazuri ni kwakua wapo Simba lakini kwa kikosi cha Yanga watatokea Bench ili kupata nafasi ya kucheza.
Sema Chama ni garasa. Chama wa leo siyo chama wa jana. ARVUyo Mpanzu ambaye Simba anaonekana ni hatari pale Yanga anaweza kupata nafasi ya kucheza!!
Kama Chama anatokea Sub hivi Mpanzu atacheza nafasi ya nani?
Mchezaji mwenye mechi zaidibya 15 ana goli 2 inawezekana vipi akawa tisha Yanga?
Ao wachezaji mnao waona wazuri ni kwakua wapo Simba lakini kwa kikosi cha Yanga watatokea Bench ili kupata nafasi ya kucheza.
Nyie mpo klabu Bingwa?Mbona hampo club bingwa?
Chama akirudi Simba ana anza kikosi cha kwanza, anaweza ku struggle kupata namba Yanga ila si kwa simbaSema Chama ni garasa. Chama wa leo siyo chama wa jana. ARV
Serikali wakiamua iwe hivyo unavyodhani wewe itakua ni kuingilia maamuzi ya shirikisho ripoti ikifika Fifa tunakula ban ya kushiriki michuano ya kimataifa,, hakuna namna Yanga watakwepa hii mechi,, hao majobless wasikutishe kabisa,,Kumbe ni kama?
Turudi kwako, Kama Waziri atasema Yanga apewe alama 3 na 5imba ashushiwe rungu? Mtaendelea kukaa hukohuko mafichoni ?
Israel Mwenda aliachwa na simba, Yanga yenu anacheza kikos cha Pili?Uyo Mpanzu ambaye Simba anaonekana ni hatari pale Yanga anaweza kupata nafasi ya kucheza!!
Kama Chama anatokea Sub hivi Mpanzu atacheza nafasi ya nani?
Mchezaji mwenye mechi zaidibya 15 ana goli 2 inawezekana vipi akawa tisha Yanga?
Ao wachezaji mnao waona wazuri ni kwakua wapo Simba lakini kwa kikosi cha Yanga watatokea Bench ili kupata nafasi ya kucheza.
Mwenye Namba yake kwasasa yupo majeruhi, akipona Mwenda atakua akisubiri.Israel Mwenda aliachwa na simba, Yanga yenu anacheza kikos cha Pili?