Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

Mwenye Namba yake kwasasa yupo majeruhi, akipona Mwenda atakua akisubiri.
1000261599.jpg
 
Bahati nzuri Ismail Aden Rage aliwabatiza jina la Mbumbumbu kwenye mkutano mkuu wa wanachama wote pale police officers Mess kwaiyo nyie na vizazi vyenu hampindui.
 
Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa wakiendelea kusema kuwa Yanga SC haitacheza tena na Simba SC watageuka na kumuunga mkono Rais wao Injinia Hersi Said au watamkataa na kumuona Msaliti na hata kumuanzishia Zengwe aachie Ngazi?

Nasubiria majibu yenu tafadhali.
kikao kama kilikuwa cha serikali na yanga tutamuunga mkono raisi na lolote atakalokuwa kakubaliana na serikali ila tusingecheka na kilaza wowote kutoka TTF na bodi ya ligi eti tucheze mechi...vitu vikishafikaga levo hizo sisi yanga ni serikali tu ndo wanaweza kutushawishi ila sio mpuuzi mwingine
 
Uyo Mpanzu ambaye Simba anaonekana ni hatari pale Yanga anaweza kupata nafasi ya kucheza!!

Kama Chama anatokea Sub hivi Mpanzu atacheza nafasi ya nani?

Mchezaji mwenye mechi zaidibya 15 ana goli 2 inawezekana vipi akawa tisha Yanga?

Ao wachezaji mnao waona wazuri ni kwakua wapo Simba lakini kwa kikosi cha Yanga watatokea Bench ili kupata nafasi ya kucheza.
Bila rushwa hii timu mnayoiimba si kitu
FB_IMG_17426799943098757.jpg
 
Serikali wakiamua iwe hivyo unavyodhani wewe itakua ni kuingilia maamuzi ya shirikisho ripoti ikifika Fifa tunakula ban ya kushiriki michuano ya kimataifa,, hakuna namna Yanga watakwepa hii mechi,, hao majobless wasikutishe kabisa,,
Kucheza mechi vilevile ni kinyume na taratibu. Tukicheza tutafungiwa na FIFA vilevile.Kanuni zifuatwe
 
Uyo Mpanzu ambaye Simba anaonekana ni hatari pale Yanga anaweza kupata nafasi ya kucheza!!

Kama Chama anatokea Sub hivi Mpanzu atacheza nafasi ya nani?

Mchezaji mwenye mechi zaidibya 15 ana goli 2 inawezekana vipi akawa tisha Yanga?

Ao wachezaji mnao waona wazuri ni kwakua wapo Simba lakini kwa kikosi cha Yanga watatokea Bench ili kupata nafasi ya kucheza.
Nsyuuu...unaongea kama unakunywa wanzuki...
 
Back
Top Bottom