Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

Bahati nzuri Ismail Aden Rage aliwabatiza jina la Mbumbumbu kwenye mkutano mkuu wa wanachama wote pale police officers Mess kwaiyo nyie na vizazi vyenu hampindui.
 
kikao kama kilikuwa cha serikali na yanga tutamuunga mkono raisi na lolote atakalokuwa kakubaliana na serikali ila tusingecheka na kilaza wowote kutoka TTF na bodi ya ligi eti tucheze mechi...vitu vikishafikaga levo hizo sisi yanga ni serikali tu ndo wanaweza kutushawishi ila sio mpuuzi mwingine
 
Bila rushwa hii timu mnayoiimba si kitu
 
Serikali wakiamua iwe hivyo unavyodhani wewe itakua ni kuingilia maamuzi ya shirikisho ripoti ikifika Fifa tunakula ban ya kushiriki michuano ya kimataifa,, hakuna namna Yanga watakwepa hii mechi,, hao majobless wasikutishe kabisa,,
Kucheza mechi vilevile ni kinyume na taratibu. Tukicheza tutafungiwa na FIFA vilevile.Kanuni zifuatwe
 
Nsyuuu...unaongea kama unakunywa wanzuki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…