Naomba wataalamu wa Nyimbo za zamani mnitajie list, nataka nimuekee nyimbo Mzee wangu kwenye Flash

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .

Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
 
Ikiwa umekaa nae sana lzma ujue mzee anapendelea nyimbo za aina gani
 
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .

Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
Madilu System
• Ya Jean
• Biya
• Autoroute
• Fauté ya Visa
• Melanconique
• Si je saváis
• Blessure D'amour
• Bruno dika
• Tonton Kigolo

List Bado ndefu.. Mwamba alikuwa ni moto wa kuotea mbali
 
Back
Top Bottom