Naomba watanzania tumsaidie Ray C tumchangie

Naomba watanzania tumsaidie Ray C tumchangie

Kama ni msaada kuna watanzania wengi wa maana wanaouhitaji kuliko huyu limbukeni aliyejitafutia mauti. Mie hata kwa viboko siwezi kushauri acha kutoa kumsaidia limbukeni aliyejisahau kwa usupastaa uchwara. Heri wapungue lau vijana wengine ambao hawajaharibika wajifunze. Sina huruma na watu wasiotumia akili hata kidogo ingawa Ray C ni mwanangu kama wengine. I am such a stern father so to speak.
 
Sion umuhim wa kumchangia mtu aliye haribu personality yake mwenyewe ina maana hakujua ni nini anafanya au alijua anakula ""SEMBE""... Ajifunze kwanza leo tukimchangia itakuwa ni jambo endelevu hili..
 
Ray C alitoroka kwenye rehab center, je utamsaidiaje mtu wa aina hii? The best way, apelekwe kwa sheikh akamsomee kisomo, huenda ana majini
 
kwani alilazimishwa kula ng'ada si alikula kwa starehe zake? Acha ateseke kwa raha zake, angekuwa amelishwa at minor age hapo Sawa, ila alikuwa anaenda nunua mwenyewe kwa pesa yake.
 
Nilimsikia mama yake akitaja no za cmu clouds fm bt ckuwezazinote,sielewi kwann wasanii hawafanyi fundraising kumchangia pesa za matibabu,huu ubaguzi unachangia kurudisha maendeleo nyuma hapa tz! Imagine mtu anatoa 10 mil kama rambirambi kwa sm1 ambaye ni marehemu ila aliye hai hachangiwi, ama kwasababu ray c hawezi wapa political fame and capital? so sad
Mimi personal nipo tayari kumchangia Ray c .Agent wake ni nani?.mtu anaeaminika afungue account tumchangia.She needs help .mimi personal nipo tayari
 
JF kuna watu wana roho.mbaya astaghafiruAllah ....
 
kwani britney, whitney (RIP), whinehouse (RIP) walichangiwa na wamarekani wenzie? aende zake rehab ebo, bangi avute yeye halafu sisi tumchangie wapi na wapi? kila mtu abebe msalaba (wa kujitakia) wake mwenyewe
 
nakumbka wakati rais anaamasisha upimaji wa virusi vya ukimwi kwa ihari rayc alipo ulizwa maoni yake kuhusu ilo alisema yeye afya yake anapima nnje ya nchi coz hana imani na vpmo vya bongo.so mwataka 2mchangie akatibiwe nnje?pia yule dada wa maisha pluss alisema rayc teja wa2 wakawaka rayc akatishia mpka kumshtaki masoud leo yako wapi?bongo bana.
 
nijuavyo mie Bety Mkwasa (DC) ni dada yake sasa kama hata DC kashindwa msaidia nduguye cye tutawezaje??? Bora kusaidia wagonjwa wa kansa kuliko huyu aliyekuwa anajua effect ya drugs lakini kwa misifa yake akaendelea kubwia.Hili ni fundisho kwa mastaa uchwara a bongo.... mnaringa tuu wakati hata akili ya maisha hamna.
 
akwende zake kule,kwanza bora atangulie tu panapomstahili,apone aje atuharibie wanetu??,anavuna alichopanda,kama hakufunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu,malipo yapo hapa hapa duniani,mungu alitoa na mungu atatwaa
 
Afadhali hiyo pesa nipate mnyama na ndovu bariiiidi... Kongosho unaonaje??
 
Last edited by a moderator:
sometimes nawaza kumchangia lakini moyo unasita kutokana na sababu zifuatazo.
1. Unga kala mwenyewe baada ya kuwa limbukeni wa ela anazopata. Kawa hashauriki na mtu kama kawaida ya watanzania akishapata kila anayemshauri asipotee basi machoni pake uwa ni mwenye wivu au snitch.
2. Kuna watanzania wana matatizo makubwa tena ambayo siyo ya kujitaftia lakini sijaona watu mkijitolea kuwasaidia. Nenda muhimbili kuna watanzania wana magonjwa ya ajabu wanahitaji pesa japo mil 1 wameshindwa kupata matibabu wanateseka lakini hawajasaidiwa na mtu. Nenda mtaani kuna watoto yatima, kuna wajane waliodhurumiwa wanahitaji japo msaada wa kisheria lakini hawajasaidiwa hapo mimi ndipo nashindwa kumsaidia ray c.
3. Akisaidiwa ray c kesho atakuja lord eyes naye teja jamani tumsaidie, atafuata TID ambaye ni wazi naye ni mla unga lakini leo hii ukimsema utaishia kuporomoshewa matusi yasiyo andikika na utaitwa snitch. Hapo huja mtaja Ngwair na wengine wengi ambao bila shaka leo hii wanaona effects na matatizo wanayo pata wenzao lakini wao wamekaa kwa kujiona wajanja.
Si muda mrefu TID atafuata maana ukikaa naye mazungumzo yake ni illusions anaongea vitu kama mtoto mdogo.

Mwisho watakao mchangia mchangieni na Mungu atawalipa kwa wema wenu ila mimi ni afadhali ela yangu nkanunue kiroba cha unga nipeleke kwa watoto yatima kuliko kumchangia mtu ambaye leo hii anaomba mchango kisa alitumia ela nyingi kununua hayo matatizo.
 
Back
Top Bottom