Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Tenda wema nenda zako usingoje shukurani...Kwa hiyo kama huyu dada akifa utapata faida gani?? na hizo pesa hata usipotoa na zikaishia kwenye serengeti nayo ni faida gani?Kuna kitu kimoja wasanii wa Kitanzania haswa wale ambao ni maarufu na waliofanikiwa katika kazi zao za sanaa huwa hawakifanyi, nacho ni KUTOA kwa jamii (CHARITY). Huwaza sana maisha yao binafsi pale wanapopata breakthrough na kusahau kuwa pasipo VIINGILIO vya Watanzania, wao wasingekua hapo walipo kifedha.
Sasa kwa dhana hiyo leo hii mimi ukiniambia nimchangie RAY C sikuelewi, huyu mtu nimchangie mara ngapi?? Kama ni viingilio vya show zake nilitoa sana, Tapes, CD, DVD zake ninazo kila album(kumbuka hapa huwa tunanunua pia)...
Mwisho wa siku hivi ndivyo anavyowalipa wapenzi, mashabiki na maswaiba wake...
...........................................Hii haikubaliki, hii haiwezekani..............................
TUSIHUKUMU JAMANI...Inawezekana ndio mafundisho haya anapewa kwa jinsi hii na siku nyingine naye atakuwa msamaria mwema