Naomba watanzania tumsaidie Ray C tumchangie

Tenda wema nenda zako usingoje shukurani...Kwa hiyo kama huyu dada akifa utapata faida gani?? na hizo pesa hata usipotoa na zikaishia kwenye serengeti nayo ni faida gani?
TUSIHUKUMU JAMANI...Inawezekana ndio mafundisho haya anapewa kwa jinsi hii na siku nyingine naye atakuwa msamaria mwema
 

Wanasubiri afe ili wachangie maiti kwa pesa nyingi, hujui mtu akichangia maiti anapewa promo kuliko aliye changia mgonjwa au mtu mwenye shida?
 

Naunga mkono kwani mama yake ana uwezo mzuri tu shangazi DC wilaya mbili......wajishike......
Kama ni msaada tumpe mtoto wa leo ITV ana shida ya njia ya haja kubwa na sasa anajisaidia kwa utumbo kutolewa nje na anahitaji surgery...baba yake kafariki na mama hana uwezo.

Huyu Rehema Chalamira ana kwao safi kabisa ila ni majinuni asiyetaka kujua umuhimu wa mama yake mzazi ......msaada wa kweli upo kwa mzazi wake ila kwa kuwa ni much know muache aonje joto ya jiwe
 
I think we need a different approach.....

Haiwezekani kama binadamu tuwe tumefikia hapo....

Babu DC!!
 
I think we need a different approach.....

Haiwezekani kama binadamu tuwe tumefikia hapo....

Babu DC!!

I think they need a different approach.........

Haiwezekani kama vioo vya jamii wawe wamefikia hapo......

OleSaidimu TZ
 
People die like every day!!!!!!!!!! with Malaria, Typhoid, Uchawi n other staffs. They die because they are poor and didnt have a choice. Ray C HAD A SHOT IN LIFE!!!!!!! MMESAHAU ALIVOTUNYANYASA NA GRAND VITARA LAKE!!!!!!! Damn!!! Ray C alikuwa NOMAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Wapi bwana wake wa Bank!!!!!!!! Maisha haya acheni tu!!!!!!!! RAY C HATA AKIFA (MUNGU MUIPUSHIE MBALI) ILA KATEKETEZA BATAAAAAAA!!!!!!!!!! HAPANA CHEZEYAAAA!!!!!!!! SHE HAD A SHOT IN LIFE, SHE CAN NEVER BLAME GOD!!!!!!!!!!
 
Shosti nawe uhv that kind of perception? Yes she had her tmy and called the shots! Thats in the past. anahitaj msaada wetu kama watanzania, kumlaumu na kumnanga hakusaidii lolote, people we need 2 change, tusilipe baya kwa baya!!
 

Ni kweli "wema hauozi", lakini yanayomkuta RAY C yawe fundisho kwa wasanii wenzake ambao vichwa huwa vinawavimba wakati wa mafanikio na husahau ku-give back kwa wanaowawezesha...nakuambia hivi, laiti kama huyu dada angekuwa karibu na jamii ya wasiojiweza wakati wa mafaniko yake, hakika leo hii kila mtu angependa kujitolea kumsaidia.
 
Shosti nawe uhv that kind of perception? Yes she had her tmy and called the shots! Thats in the past. anahitaj msaada wetu kama watanzania, kumlaumu na kumnanga hakusaidii lolote, people we need 2 change, tusilipe baya kwa baya!!

Mi sijamnanga wajameni unanionea tu!!! MI NIMEKUMBUKA THE BEST TIME OF HER LIFE!!!!!!!(Jst my baisc instincts of looking the best of people no mtter how bad the situation is!!!!!!!!!!!! Ciello mi naishi kinondoni TRUST ME HAKUNA TEJA ANAEACHA!!!!!!! I GUESS TUSHAOZEA KUPOTEZA WATU MAY BE NDO MAANA SIONESHI MUCH REMORSE!!!!!!!!!!

Kila lakheri wajameni kwa kumponya!!!!!!!!
 
Sikuwahi kusikia redioni wakati mama yake anaongea, msaada unahitajika kwa ajili ya nini, matibabu? Habari tulizosikia kuwa hata huko rehab hakukaa si za kweli? Kwa hiyo mchango ni wa kumrudisha rehab?

Tatizo hili limekuwa kubwa, labda tu kwa sababu wengine hawana wa kuwasemea kwenye vyombo vya habari, sasa hao nao wasaidiweje?
 

WASANII 70% MATEJA!!!!!!!!!! Sasa pesa si zitatuishia kuchangaaaa!!!!!!!!!
1. Lord Macho
2. Daz Mama
3. Blue Green
4. Man Dojooo
5. Tido
6.Q chipower windows
7. Langaa
8.Mangwei
NIMECHOKA TU KUANDIKA!!!!! ILA WAPO WENGI SANAAAAAAAAAA!!!!!!!!!
 
DIAMOND UMESIKIA? Huko mnakoelekea na vijisenti mtajajikojolea sana, Ray C amtafute Fresh Jumbe na Mwisho Mwampamba ndo walikuwa wanamalizana kivyao.
 
solution sio kumsaidia ray c bali iwe kuwamaliza wauza poda na kusaidia mateja in general
 
WASANII 70% MATEJA!!!!!!!!!! Sasa pesa si zitatuishia kuchangaaaa!!!!!!!!!
1. Lord Macho
2. Daz Mama
3. Blue Green
4. Man Dojooo
5. Tido
6.Q chipower windows
7. Langaa
8.Mangwei
NIMECHOKA TU KUANDIKA!!!!! ILA WAPO WENGI SANAAAAAAAAAA!!!!!!!!!

huyu kafanya rehab.. yupo clean sasa, hivi kuna mdada alikuwa na mashauzi na kiburi kama RAY C jamani, kwa waliosoma Makongo nadhani wanaelewa nyodo z ahuyo kimwana tokea enzi hizooo...kweli dunia tambara bovu
 
Mimi personal nipo tayari kumchangia Ray c .Agent wake ni nani?.mtu anaeaminika afungue account tumchangia.She needs help .mimi personal nipo tayari

Uko tayari kumchangia kitu gani? Kuna msaada wowote ameomba? funguka please...
 
wakati yupo superstar sikuwaona hata sikumoja mkatuambia wana jf kiingilio kitapungua, sinashaka hata tulikua tukimkaribia mnamlinda na kumuona yupo juu, leo yamewafika mnatapatapa. Wabongo bana, wale watu wake wakaribu walikuanae si wamchangie. nini kinawashindeni wakati mliweza kufanya part za hapa na pale mara Amsterdam mara Dubai, shame on you all.
 

mistakes ni part ya maisha Mate .. mimi naweza nikafanya jambo alafu .. I just can't help asking myself some times : "what did I learn in this whole year? What did I get from my work and my life out of this thing ? Did I change? Did I want to change? Did I want to be changed?" Such stupid questions sometimes are very helpful yawezekana huyu bint kajiuliza hayo maswali and she deserves a 2nd chance ... muhimu ni kwamba anaonyesha "majuto" mtu mwenye kujuta akarudi akawa perfect ningumu kurudi kwenye zile enzi ....

kumbuka hakuna aliye 100% perfect chini ya jua ...

 
WASANII 70% MATEJA!!!!!!!!!! Sasa pesa si zitatuishia kuchangaaaa!!!!!!!!!
1. Lord Macho
2. Daz Mama
3. Blue Green
4. Man Dojooo
5. Tido
6.Q chipower windows
7. Langaa
8.Mangwei
NIMECHOKA TU KUANDIKA!!!!! ILA WAPO WENGI SANAAAAAAAAAA!!!!!!!!!

Langa ameshafanikiwa kujitoa kwenye hili kundi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…